Wafahamu Wasanii wenye alama (matukio) yanayojirudia kwenye video zao nyingi

Wafahamu Wasanii wenye alama (matukio) yanayojirudia kwenye video zao nyingi

Temba kwenye nyimbo zake lazima ataje Kachumbali au pilipili.

Inpesctor Haroun tabia ya kulisema neno moja kwa misemo tofauti "mara vikaanza bakora ,stick ,viboko michalazo"- hEka heka za teacher

"chechela segedansi nondo gereza inside ndichi lupango kunapotekeza wanaokwenda jela sio wote wenye hatia"

"Uso mkavu usio chunusi ,natural color chotara mng'avu nga'vu,maji ya kunde kaenda hewani sekunde"

"Kajazia haja kubwa bambataa taarabu anayo" - Maneno yote yanaamisha msambwanda tu.
 
Kuna wasanii baadhi wa bongo fleva, (siwataji majina) kila wanapoimba ni lazima washike suruali zao pale chini inapoishia zipu.

Yule Rosaree naye ni lazima abinue mdomo!! Sijui ana nini yule!! Maana ana usela mwingi.
 
Back
Top Bottom