Wafahamu Wasanii wenye alama (matukio) yanayojirudia kwenye video zao nyingi

Ahaaaaaaaa ndo umshauri afanye mazoezi ya nyonga tuone miuno,au wakurya desturi yao sio kunyonga
Jide siyo mkurya. Ni kabila fulani wanaitwa Wasizaki. Ni kabila la kina Wasira

Wanapatikana Bunda
 
Baraka the prince, hawezi kuimba bila vikoti vyake.

Diamond, lazima ajing’ate ng’ate meno.
Huwa analamba lips, zinakauka.

Halafu ni bingwa wa Kucheza na Camera ili asiharibu Kwasababu ya mdomo, Directors hasa wa nje wakimsogezea karibu.

Check video ya Hallelujah.
 
Huwa analamba lips, zinakauka.

Halafu ni bingwa wa Kucheza na Camera ili asiharibu Kwasababu ya mdomo, Directors hasa wa nje wakimsogezea karibu.

Check video ya Hallelujah.
Kwahiyo nae anatoka kinondoni mkuu maana ndo tabia zao mkuu?
 
Hao jamaa tabia zao unakuta huko mbeya mtu kavaa shati na suruali vya kijani Ila ni satini

Na kiatu kirefu cheupe
Na wasafwa akili zao huwa naona kama wagogo.

Yaani mgogo ni mgogo tu, check akili ya Ben pol.
 
Huyu Rummy Jones ni wa ABDURII au NYANGE?
 
Jide siyo mkurya. Ni kabila fulani wanaitwa Wasizaki. Ni kabila la kina Wasira

Wanapatikana Bunda
Hakuna kabira exactly la wakurya , wakurya ni muunganiko wa makabila ya mkoa wa mara ikiwemo hao wazanaki
 
Hakuna kabira exactly la wakurya , wakurya ni muunganiko wa makabila ya mkoa wa mara ikiwemo hao wazanaki

Vitu vingine Kama hujui unakaa navyo kichwani mwako tu mkuu na sio kuleta ujuaji public Kama hivi!!

Hiki ulichoandika ni aibu hata familia yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…