Wafahamu Wavuvi hawa Mashuhuri waliokuwepo kwe Noti ya Shilingi Mia Mbili

Ulipo tupo

Zamani watu wengi wa Idara walifanya kazi yao kuwa weledi mkubwa pasi na kujulikana. Siku hizi wanakunywa Bia na kuweka zana zao za kazi mezani huku wakijitapa
 
Kama umetumia hiii pesa na bado ujaoa au ujaolewa au una mtoto jipange kabla ujapangwa
 
Mjomba...
Taratibu tutasomeshana.
Hekima na upole ni muhimu sana.
 
Mfumo Kristo uliwafifisha WaIslam Mohamed Said hadi waefeso wakatiwa katika fedha zetu.
 
Hao jamaa walikuwa majasusi ?
 
Nyerere wale wazee wazee Waswahili/ Wamakonde wa Msasani pale alikuwa anakaa nao anacheza nao bao majirani zake.

Na wale walikuwa wanampa stories nyingi sana za mtaani maisha yanavyoendelea, alikuwa anapata nafasi ya kusikiliza maisha yanavyokwenda bila kutegemea washauri wake tu, ambao wengine walikuwa hawajui maisha ya mtaani yanavyokwenda, au walikuwa wanajua lakini wana interests zao tofauti hivyo wanamficha mambo rais.

Ilikuwa ni njia yake moja ya ku bypass officials channels za kupata habari.

Kuna wakati kulikuwa na mgogoro wa ardhi pale, matajiri wakataka kununua ardhi wawaondoe wale wazee, Nyerere akasema hawa wazee wengine wamenikaribisha hapa nimewakuta, waacheni.

Na pale Msasani kuna wavuvi wengi tu.

Kwa hivyo siwezi kushangaa habari hizi.
 
Endelea kubwabwaja tu ukifikiri darusalaam au kuzaliwa huo mji ndio kila kitu nchi hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…