The only
JF-Expert Member
- May 19, 2011
- 10,805
- 14,181
Una huyu.Wakati huo mfumo kristo na harakati za kuzuia umaarufu wa waislamu ulikuwa haujanza.
Cc:Muhammad said.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una huyu.Wakati huo mfumo kristo na harakati za kuzuia umaarufu wa waislamu ulikuwa haujanza.
Cc:Muhammad said.
We jamaa nilijua tua wa kishua unakuwaga na majibu ya kijeuri na nyodo.nashauri vijana tusio na background tusibishanage na hawa madingi akikumaind unapoteaNyerere wale wazee wazee Waswahili/ Wamakonde wa Msasani pale alikuwa anakaa nao anacheza nao bao majirani zake.
Na wale walikuwa wanampa stories nyingi sana za mtaani maisha yanavyoendelea, alikuwa anapata nafasi ya kusikiliza maisha yanavyokwenda bila kutegemea washauri wake tu, ambao wengine walikuwa hawajui maisha ya mtaani yanavyokwenda, au walikuwa wanajua lakini wana interests zao tofauti hivyo wanamficha mambo rais.
Ilikuwa ni njia yake moja ya ku bypass officials channels za kupata habari.
Kuna wakati kulikuwa na mgogoro wa ardhi pale, matajiri wakataka kununua ardhi wawaondoe wale wazee, Nyerere akasema hawa wazee wengine wamenikaribisha hapa nimewakuta, waacheni.
Na pale Msasani kuna wavuvi wengi tu.
Kwa hivyo siwezi kushangaa habari hizi.
Hii approach ndo inafanya wazani kazi yao kuteka kumlinda yoyote madarakani kusimama na Chama kitachoshinda .Marais wanaviogopa ulaya huku vinajipendekezaUlipo tupo
Zamani watu wengi wa Idara walifanya kazi yao kuwa weledi mkubwa pasi na kujulikana. Siku hizi wanakunywa Bia na kuweka zana zao za kazi mezani huku wakijitapa
Shida siasa imeingia hadi kwaoHii approach ndo inafanya wazani kazi yao kuteka kumlinda yoyote madarakani kusimama na Chama kitachoshinda .Marais wanaviogopa ulaya huku vinajipendekeza
Mwishoni mwa miaka ya 1980, Benki Kuu ya Tanzania ilitoa noti ya Shilingi Mia Mbili. Noti hii maarufu upande wake mmoja ulikuwa na picha ya wavuvi wawili wakiwa wamebeba samaki mkubwa wakiwa wanaelekea nchi kavu.
Najua wengi wetu hatufahamu kwanini iliwekwa picha ya wavuvi wale? Basi jua haikuwekwa kwa bahati mbaya.
Kwanza kabisa, Picha ile iliwekwa ili kutangaza moja kati ya shughuli ya kiuchumi ifanyikayo hapa nchini. Kwakuwa tuna bahari, Maziwa na Mito basi shughuli ya Uvuvi lazma itafanyika.
Jambo la pili, picha ile ya wavuvi ni picha itokanayo na watu halisi kabisa. Wavuvi hao ni Abdallah Mohamed pamoja na Ibrahim Amanzi wavuvi waliojipatia umaarufu miaka ya 1970 mpaka miaka ya 1980.
Walikuwa ni wavuvi maarufu wenye kuipenda kazi yao hadi kufikia kuwa marafiki wa Rais wa wakati huo JK Nyerere.
Wengine walishuku hao walikuwa ni "wale jamaa zetu" lakini naambiwa hawakuwa.
Kwa mchango wao kwa Taifa, jumlisha ukaribu wao na Mwl Nyerere, wakawekwa kwenye noti ya shilingi 200.
View attachment 2549333
My take: Kama ni uchawa basi hawa ndio walikuwa machawa kwelikweli sio hawa wa siku hizi wanaoishia kulipwa buku 7.
Hakuna aliyekubishia. Elewa maana ya mwishoni mwa miaka ya 80Wakati Noti hii inatoka Rais alikuwa Ally Hassan Mwinyi....
Na hao jirani zake, aliwapa pia eneo kwaajili ya kucheza mpira. Hilo eneo mpaka leo lipo, pembeni yake panauzwa maua.Nyerere wale wazee wazee Waswahili/ Wamakonde wa Msasani pale alikuwa anakaa nao anacheza nao bao majirani zake.
Na wale walikuwa wanampa stories nyingi sana za mtaani maisha yanavyoendelea, alikuwa anapata nafasi ya kusikiliza maisha yanavyokwenda bila kutegemea washauri wake tu, ambao wengine walikuwa hawajui maisha ya mtaani yanavyokwenda, au walikuwa wanajua lakini wana interests zao tofauti hivyo wanamficha mambo rais.
Ilikuwa ni njia yake moja ya ku bypass officials channels za kupata habari.
Kuna wakati kulikuwa na mgogoro wa ardhi pale, matajiri wakataka kununua ardhi wawaondoe wale wazee, Nyerere akasema hawa wazee wengine wamenikaribisha hapa nimewakuta, waacheni.
Na pale Msasani kuna wavuvi wengi tu.
Kwa hivyo siwezi kushangaa habari hizi.
Hapa nilikuwa nataka kumuita kaka Poppy Hatonn atupe stories za kwao, lakini naona wamempiga ban sijui kawachafua nini tena.Na hao jirani zake, aliwapa pia eneo kwaajili ya kucheza mpira. Hilo eneo mpaka leo lipo, pembeni yake panauzwa maua.
Mechi za pale, Nyerere pia alihudhuria.
UtotoWakati huo mfumo kristo na harakati za kuzuia umaarufu wa waislamu ulikuwa haujanza.
Cc:Muhammad said.
Kwamba walizulumiwa vyeo na jina la mtaa... Mzee wetu Mohamed Said ilimpita wapi hii asiianzishie uzi? Hii angeiandikia thesis kabisa hii.
Mwishoni mwa miaka ya 1980, Benki Kuu ya Tanzania ilitoa noti ya Shilingi Mia Mbili. Noti hii maarufu upande wake mmoja ulikuwa na picha ya wavuvi wawili wakiwa wamebeba samaki mkubwa wakiwa wanaelekea nchi kavu.
Najua wengi wetu hatufahamu kwanini iliwekwa picha ya wavuvi wale? Basi jua haikuwekwa kwa bahati mbaya.
Kwanza kabisa, Picha ile iliwekwa ili kutangaza moja kati ya shughuli ya kiuchumi ifanyikayo hapa nchini. Kwakuwa tuna bahari, Maziwa na Mito basi shughuli ya Uvuvi lazma itafanyika.
Jambo la pili, picha ile ya wavuvi ni picha itokanayo na watu halisi kabisa. Wavuvi hao ni Abdallah Mohamed pamoja na Ibrahim Amanzi wavuvi waliojipatia umaarufu miaka ya 1970 mpaka miaka ya 1980.
Walikuwa ni wavuvi maarufu wenye kuipenda kazi yao hadi kufikia kuwa marafiki wa Rais wa wakati huo JK Nyerere.
Wengine walishuku hao walikuwa ni "wale jamaa zetu" lakini naambiwa hawakuwa.
Kwa mchango wao kwa Taifa, jumlisha ukaribu wao na Mwl Nyerere, wakawekwa kwenye noti ya shilingi 200.
View attachment 2549333
My take: Kama ni uchawa basi hawa ndio walikuwa machawa kwelikweli sio hawa wa siku hizi wanaoishia kulipwa buku 7.
Usalama wa taifa kaziniTeko...
Mpashaji wangu kanieleza:
"Waziri akaniambia inanihitaji tusafiri pamoja twende Ulaya ya Mashariki kuna kozi inafungwa na sisi tumealikwa kwenye ufungaji.
Basi mimi na Waziri wangu tumekwenda.
Nilipata mshtuko mkubwa sana.
Katika kundi lile lililohitimu kozi ile niliwaona jamaa ambao mimi wakiniuzia samaki pale Ferry."
Mmoja wapo ni Mzee BoiNyerere wale wazee wazee Waswahili/ Wamakonde wa Msasani pale alikuwa anakaa nao anacheza nao bao majirani zake.
Na wale walikuwa wanampa stories nyingi sana za mtaani maisha yanavyoendelea, alikuwa anapata nafasi ya kusikiliza maisha yanavyokwenda bila kutegemea washauri wake tu, ambao wengine walikuwa hawajui maisha ya mtaani yanavyokwenda, au walikuwa wanajua lakini wana interests zao tofauti hivyo wanamficha mambo rais.
Ilikuwa ni njia yake moja ya ku bypass officials channels za kupata habari.
Kuna wakati kulikuwa na mgogoro wa ardhi pale, matajiri wakataka kununua ardhi wawaondoe wale wazee, Nyerere akasema hawa wazee wengine wamenikaribisha hapa nimewakuta, waacheni.
Na pale Msasani kuna wavuvi wengi tu.
Kwa hivyo siwezi kushangaa habari hizi.
Yeah lile eneo enzi za keenja alitaka akiuze, tumecheza sana mpira paleNa hao jirani zake, aliwapa pia eneo kwaajili ya kucheza mpira. Hilo eneo mpaka leo lipo, pembeni yake panauzwa maua.
Mechi za pale, Nyerere pia alihudhuria.
Pale kwa Nyerere mbele kidogo tu kuna nyumba ya Kambona. Nyerere na Kambona walikuwa majirani kabisa.Tulikuwa tunakwenda kumuona Neema alivyorudi.Yeah lile eneo enzi za keenja alitaka akiuze, tumecheza sana mpira pale
Ni mbali kuliko tulipotokaHata tunapoelekea bado mbali.
Yeah na kama unapitia beach kwa beach ndio rahisi zaidiPale kwa Nyerere mbele kidogo tu kuna nyumba ya Kambona. Nyerere na Kambona walikuwa majirani kabisa.Tulikuwa tunakwenda kumuona Neema alivyorudi.
Nilikuwa namtafuta Andrew aje atupe habari za pale, lakini naona hapatikani.
Pale kuna beach nzuri sana, kuna sehemu mbele kidogo tulikuwa tunakwenda reggae party beach Mbalamwezi.Yeah na kama unapitia beach kwa beach ndio rahisi zaidi