Wafahamu Wavuvi hawa Mashuhuri waliokuwepo kwe Noti ya Shilingi Mia Mbili

We jamaa nilijua tua wa kishua unakuwaga na majibu ya kijeuri na nyodo.nashauri vijana tusio na background tusibishanage na hawa madingi akikumaind unapotea
 
Ulipo tupo

Zamani watu wengi wa Idara walifanya kazi yao kuwa weledi mkubwa pasi na kujulikana. Siku hizi wanakunywa Bia na kuweka zana zao za kazi mezani huku wakijitapa
Hii approach ndo inafanya wazani kazi yao kuteka kumlinda yoyote madarakani kusimama na Chama kitachoshinda .Marais wanaviogopa ulaya huku vinajipendekeza
 
Hii approach ndo inafanya wazani kazi yao kuteka kumlinda yoyote madarakani kusimama na Chama kitachoshinda .Marais wanaviogopa ulaya huku vinajipendekeza
Shida siasa imeingia hadi kwao
 
Wakati Noti hii inatoka Rais alikuwa Ally Hassan Mwinyi....
 
Na hao jirani zake, aliwapa pia eneo kwaajili ya kucheza mpira. Hilo eneo mpaka leo lipo, pembeni yake panauzwa maua.

Mechi za pale, Nyerere pia alihudhuria.
 
Na hao jirani zake, aliwapa pia eneo kwaajili ya kucheza mpira. Hilo eneo mpaka leo lipo, pembeni yake panauzwa maua.

Mechi za pale, Nyerere pia alihudhuria.
Hapa nilikuwa nataka kumuita kaka Poppy Hatonn atupe stories za kwao, lakini naona wamempiga ban sijui kawachafua nini tena.
 
Hao jamaa walikuwa idara maalum kipindi cha balozi mahiga
 
Usalama wa taifa kazini
 
Mmoja wapo ni Mzee Boi
 
Na hao jirani zake, aliwapa pia eneo kwaajili ya kucheza mpira. Hilo eneo mpaka leo lipo, pembeni yake panauzwa maua.

Mechi za pale, Nyerere pia alihudhuria.
Yeah lile eneo enzi za keenja alitaka akiuze, tumecheza sana mpira pale
 
Yeah lile eneo enzi za keenja alitaka akiuze, tumecheza sana mpira pale
Pale kwa Nyerere mbele kidogo tu kuna nyumba ya Kambona. Nyerere na Kambona walikuwa majirani kabisa.Tulikuwa tunakwenda kumuona Neema alivyorudi.

Nilikuwa namtafuta Andrew aje atupe habari za pale, lakini naona hapatikani.
 
Yeah na kama unapitia beach kwa beach ndio rahisi zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…