Wafahamu Wavuvi hawa Mashuhuri waliokuwepo kwe Noti ya Shilingi Mia Mbili

Pale kuna beach nzuri sana, kuna sehemu mbele kidogo tulikuwa tunakwenda reggae party beach Mbalamwezi.
Mbalamwezi nadhani bado ipo,kuna jirani pale Grabu yule mvuvi mtoto ya Mama Jane Goodhall nadhani unamkumbuka
 
Mbalamwezi nadhani bado ipo,kuna jirani pale Grabu yule mvuvi mtoto ya Mama Jane Goodhall nadhani unamkumbuka
Dah, umenikumbusha mbali sana.

Miezi michache iliyopita nilikuwa naongea na Andrew namuuliza anavionaje vitabu vya Nyerere hivi vilivyoandikwa na Issa Shivji na wenzake hivi karibuni?

Andrew ananiambia vitabu gani? Alikuwa hata hajui kuna vitabu vimeandikwa, akavifuatilia akasema so far naviona viko fair.

Yani alikuwa hata hajui kuna vitabu vipya vya Nyerere.

Jamaa alikuwa anatembea kwa mguu kutoka Msasani kwao mpaka Upanga kule kwetu, basi tu kaamua. Halafu anakwambia anapenda kufanya mazoezi yale ambayo hayatumii vifaa vyovyote unatumia mwili wako tu. Naona hata kutembea alikuwa anafanya kama sehemu ya mazoezi. Siku hizi naona huku Marekani watu ndio wanastukia kutembea kama mazoezi, nikiona hivyo namkumbuka sana Andrew.
 
My take: Kama ni uchawa basi hawa ndio walikuwa machawa kwelikweli sio hawa wa siku hizi wanaoishia kulipwa buku 7.[emoji23]
Chawa kawekwa kwenye noti, sio mchezo🤣🤣🤣
 
Andrew mpk leo anatembea kwa miguu hajaacha
 
Andrew mpk leo anatembea kwa miguu hajaacha
Yule jamaa nimemvulia kofia. Mara ya kwanza alivyoniambia nilifikiri anatania.

Ila inamsaidia sana kuwa na afya na mkakamavu. Haya maisha ya kutegemea magari kila kitu yanatugharimu sana.
 
Yule jamaa nimemvulia kofia. Mara ya kwanza alivyoniambia nilifikiri anatania.

Ila inamsaidia sana kuwa na afya na mkakamavu. Haya maisha ya kutegemea magari kila kitu yanatugharimu sana.
Hahahaha,nani mkakamvu kweli ,ila ni vile tu umri umeenda, na faranga za kutamba mjini hana, hivyo ananekana kachoka
 
Yeah na kama unapitia beach kwa beach ndio rahisi zaidi
Ile beach bwana nilikuwa nakatiza sana pale. Mara nyingi nikitupa macho kwenye nyumba ya Nyerere kwa upane wa baharini nilikuwa namuona amekaa nje kwenye miti anasoma. Nimeshangaa kusikia ule uwanja wa mpira bado upo.
 
Hahahaha,uwanja wa mpira upo ila zile nyumba za kizamani ndio zimeishia ama zinaishia,ule uwanja manispaa waje na ubunifu
 
Siku hizi kuna wauza madafu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…