Wafalme hutoka katika familia maskini

Naona haters wanaupita huu uzi kimya kimya, kila wakifanya hesabu tatu haikai wala mbili haikai facts hazitoshelezi. Wanatamani wahack servers za YouTube, Facebook, Twitter na Instagram
 
Asante sana...
 
Ni bora umewapa MUONGOZO MZURI WA KULINGANISHA, na tulishasema sana humu, DIAMOND si wa kulinganishwa na msanii yeyote kwa TZ, japo haikuzuii kumpenda/kumsifia msanii wako lakini kosa wanalolifanya watu wengi kwa makusudi ni kumlinganisha wakidhani kwa kufanya hivyo yule wa kwao atakuwa juu.
 
Kwahiyo mkuu hapo bado nini katika hivyo ulivyo vieleza ili nae Diamond tumuone sawa tu kama na akina Cris brown au Beyonce?
Diamond bado hajawa fully packed...kuna vitu ntaviandika badae ambavyo vinamshusha...
 
kuna wahindi wana abudu mastaa wa Bollywood Amitah bachan ,salman khan and the likes naiona hii inakuja TZ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…