Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Japo mie nimechelewa kumtambua..ila UStar wake na na Mga'ao wa huyu Youg Smarty Diamond haufichiki !!I am a loyal fan. Najipongeza kwa hili.
Kiziwi huwa hasikikiagi bla blah eeenh!!!?Anayekuja kubisha kwenye huu uzi aje na facts kupinga facts na si blah blah.
Haaahaa lols!Kiziwi huwa hasikikiagi bla blah eeenh!!!?
Haaahaa lols!
Diamond anasauti ya kukusikilizisha !! Dawa yako kiziiiii!!Haaahaa lols!
Asante sana...Ingelikuwa Daimond Mkenya au katokea kenya basi SIFA na Taadhima kubwa ingetawala dunia...
ila nasikitika waTZ wa bongo ni watu tusiependa mwenzetu afanikiwe (sii D/P ila yyote tu) !!
Huyu jamaa kajituma sana kufikia hapo alipo...Hongera !!
MK254 hebu njo utusaidia kuwaPromot wandugu (majirani zako)!!
Frankestain Pongezi kwako
Diamond bado hajawa fully packed...kuna vitu ntaviandika badae ambavyo vinamshusha...Kwahiyo mkuu hapo bado nini katika hivyo ulivyo vieleza ili nae Diamond tumuone sawa tu kama na akina Cris brown au Beyonce?
Hahahahahahakuna wahindi wana abudu mastaa wa Bollywood Amitah bachan ,salman khan and the likes naiona hii inakuja TZ
Iyo umeona ww...wala c sababu yenye nguvu...iko kibinafsi zaid...iyo reason yakotatizo lake ana mashauzi sana
Kama yapi mkuutatizo lake ana mashauzi sana