Wafalme hutoka katika familia maskini

Wafalme hutoka katika familia maskini

Naona haters wanaupita huu uzi kimya kimya, kila wakifanya hesabu tatu haikai wala mbili haikai facts hazitoshelezi. Wanatamani wahack servers za YouTube, Facebook, Twitter na Instagram
 
Ingelikuwa Daimond Mkenya au katokea kenya basi SIFA na Taadhima kubwa ingetawala dunia...
ila nasikitika waTZ wa bongo ni watu tusiependa mwenzetu afanikiwe (sii D/P ila yyote tu) !!
Huyu jamaa kajituma sana kufikia hapo alipo...Hongera !!


MK254 hebu njo utusaidia kuwaPromot wandugu (majirani zako)!!
Frankestain Pongezi kwako
Asante sana...
 
Ni bora umewapa MUONGOZO MZURI WA KULINGANISHA, na tulishasema sana humu, DIAMOND si wa kulinganishwa na msanii yeyote kwa TZ, japo haikuzuii kumpenda/kumsifia msanii wako lakini kosa wanalolifanya watu wengi kwa makusudi ni kumlinganisha wakidhani kwa kufanya hivyo yule wa kwao atakuwa juu.
 
Kwahiyo mkuu hapo bado nini katika hivyo ulivyo vieleza ili nae Diamond tumuone sawa tu kama na akina Cris brown au Beyonce?
Diamond bado hajawa fully packed...kuna vitu ntaviandika badae ambavyo vinamshusha...
 
Back
Top Bottom