Hivi ni nini huwasumbua hawa wafanyabiashara wa bongo ambao pia wanajihusisha na kutuma mizigo kwa wateja wa mikoani?
Kabla hujawatumia hela wanakuwa na customer care nzuri saana. Wanajibu message kwa wakati, wanazielezea bidhaa zao vizuri hadi mteja unaridhika na kujisemea moyoni, hivi ndivyo biashara inapaswa kufanyika.
Baada ya kuwatumia hela sasa, message hawajibu tena hata wakijibu wanajibu kwa kuchelewa mno, na wakijibu ni kwa ufupi sana, hadi upige simu mara tatu ndio watapokea.... mzigo unaopaswa kutumwa leo watautuma kesho bila hata sababu za kueleweka.
Wafanya biashara wengi mnapoteza wateja kwa shida hii. Liangalieni hili kwenu na kwa wahudumu mliowaajiri.