M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,199
- 8,186
Mtoa Mada umezungumzia wafanya usafi ofisini tu.
Bado sehemu zingine kama:-
Wahudumu wa Migahawa na bars.
Wafanyakazi wa supermarkets na mini supermarkets.
Wafanya scrub mule tunamokata nywele.
Wachuaji miili katika ofisi zao.
Wagudumu wa hotels, lodge na guest houses.
Mama ntilie.
Wachuuzi wa bidhaa ndogondogo mitaani.
wana Kwaya.
Waimba kaswida.
Na wengine niliosahau.
Hao hujaona eee!!
Na akitoka hapo anaenda kupiga dili la mishahara hewa!! ha haaahao ndio wasomi wetu, waliohitimu shahada, master, astashahada, phd na zingine. tena unakuta anajinadi......., haya hongera wewe na wenzako hao, fanyeni kwa raha zenu, ila si mbaya sana maana wadogo zenu na dada zenu pia au hata wenu si ajabu wanasaidia sana huko maofisini. kama huna mtoto weka andalio la yeye kuja kuliwa.
poa mkuu hongera.
Tamalisa
Hizo mambo hazina cha usomi dada angu, bosi wa IMF yule mfaransa alitaka kula tena kwa kulazimisha mhudumu wa hoteli, Zuma yeye alikula mwathilika tena peku
Tamalisa
Hizo mambo hazina cha usomi dada angu, bosi wa IMF yule mfaransa alitaka kula tena kwa kulazimisha mhudumu wa hoteli, Zuma yeye alikula mwathilika tena peku
Mwaka 2013 shirika la kazi dunia (ILO) lilitoa ripoti ya utendaji kazi na tija. Katika ripoti hiyo utendaji kazi wa Mkenya ni 1:5 kwa mtanzania, mzimbabwe ni 1:7, na mtu wa EU ni 1:12. Tafsiri yake Mkenya 1 aweza kuwa na tija Sawa na watanzania 5. Kwa stori ya hii walau ile ripoti ya ILO nimeanza kuelewa.
Wafanya usafi maofisini wametufaa maana bei nafuu pia wanakopesheka