Wafanya usafi maofisini kimbilio la madomo zege

Wafanya usafi maofisini kimbilio la madomo zege

hao ndio wasomi wetu, waliohitimu shahada, master, astashahada, phd na zingine. tena unakuta anajinadi......., haya hongera wewe na wenzako hao, fanyeni kwa raha zenu, ila si mbaya sana maana wadogo zenu na dada zenu pia au hata wenu si ajabu wanasaidia sana huko maofisini. kama huna mtoto weka andalio la yeye kuja kuliwa.

poa mkuu hongera.

Mkuu elimu ya bongo, ukifika mwisho unaanza kurudi nyuma!
 
Mkuu hapo ni kipimo cha shabaha, kulenga

avatar126416_8.gif
Huyo mmoja amekosea shabaha,aliyemfuatia bila
kujua akashika shimo kwa mikono,bila shaka ameondoka na kipindupindu.
 
heri ya wafanya usafi kuliko vicheche vya pale ustawi unajiaminisha kwenda peku peku kumbe mpo 50
 
Hadi hapa Nimeshaona umuhimu wa kuiondoa ccm madarakani!
Lack of education ndiyo iliyotufanya hadi tuwe na mawazo kama haya badala ya kufanya kazi

Elimu
Elimu
Elimu
 
Duuh., kwa hiyo na wale wafanya usafi wa kiume wanaofagia na kuosha vioo hali ipoje, si wanawagegeda wafanyakazi wa kikee kwenye hizo ofisi, si etiee
 
Back
Top Bottom