JT2014
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 1,863
- 1,368
Afisa usalama alisema anaweka chooniZimewekwa ili wafanyakazi wafanyie mapenzi chooni au zimewekwa ili kuwalinda wanapokuwa huko mtaani?
kuwasaidia wale wanaoona aibu kuchukua mchana mbele
za wenzao hivyo sio lengo la ofisi watu wafanyiane hayo vyooni.