Wafanya usafi maofisini kimbilio la madomo zege

Wafanya usafi maofisini kimbilio la madomo zege

Mtoa Mada umezungumzia wafanya usafi ofisini tu.
Bado sehemu zingine kama:-
Wahudumu wa Migahawa na bars.
Wafanyakazi wa supermarkets na mini supermarkets.
Wafanya scrub mule tunamokata nywele.
Wachuaji miili katika ofisi zao.
Wagudumu wa hotels, lodge na guest houses.
Mama ntilie.
Wachuuzi wa bidhaa ndogondogo mitaani.
wana Kwaya.
Waimba kaswida.
Na wengine niliosahau.
Hao hujaona eee!!

Mkuu nimeukubali uchambuzi wako
 
Kichwa cha chini cha mwanaume ndio kikiwa kinatoa maamuzi hilo lazima litokee
.Hapo wenye wake wahudumu roho juu masikini.
 
hao ndio wasomi wetu, waliohitimu shahada, master, astashahada, phd na zingine. tena unakuta anajinadi......., haya hongera wewe na wenzako hao, fanyeni kwa raha zenu, ila si mbaya sana maana wadogo zenu na dada zenu pia au hata wenu si ajabu wanasaidia sana huko maofisini. kama huna mtoto weka andalio la yeye kuja kuliwa.

poa mkuu hongera.
Na akitoka hapo anaenda kupiga dili la mishahara hewa!! ha haaa
 
wafanya usafi aisee ni noma mimi nakumbuka pale UDSM watu walikuwa wanapiga sana wale wadada wa usafi maana wengi wa wanafunzi wa vyuo hawana hela ya kuhonga masista duu au kununua machangu pale KONA BAA/MEEDA kimbilio lao lilikuwa Wafanya Usafi au Wadada Mama Ntilie mabibo Hostel
 
Binafsi hawa wafanya usafi wamenifaa sana nikiwa na hamu nawahi ofisini saa 12 nipo ofisini hapo namuita kwa ofis namkunja cha fasta hata viwili nampa 5,000/= tumemalizana
 
Tamalisa
Hizo mambo hazina cha usomi dada angu, bosi wa IMF yule mfaransa alitaka kula tena kwa kulazimisha mhudumu wa hoteli, Zuma yeye alikula mwathilika tena peku

Tena huyu zuma ana wanawake sijui 6.
 
Last edited by a moderator:
Hakuna taifa lililokamilika maana maadili huanzia kwenye familia ambako kwa sasa familia nyingi zinanuka uozo wa maadili. Kiukweli makampuni yote ya simu kwa ujumla wake yana uozo mkubwa. Hili linachangiwa na mambo mengi ikiwema wengi wao wanaoajiriwa huko ni wahuni sana. Mabinti mwenyewe ndo wananuka kwa mfano pale davo msichana mmoja anaboys zaidi ya 30! Per day!
 
Tamalisa
Hizo mambo hazina cha usomi dada angu, bosi wa IMF yule mfaransa alitaka kula tena kwa kulazimisha mhudumu wa hoteli, Zuma yeye alikula mwathilika tena peku

Haya mambo hayana mjanja na hayana mwenyewe, mkuu wa zamani wa benki ya dunia alimpandisha cheo na mshahara kujumlisha marupurupu y kutosha mfanyakazi wa ofisi yake kisa haya mambo akapelekea kufukuzwa kazi.

Clinton alikua anamkula mfanyakazi wake ofisini, hapa bongo hizo kesi usiseme. Hizi za ofisini ziko nyingi mno, ujue goli la wizi tamu sana
 
Last edited by a moderator:
Mwaka 2013 shirika la kazi dunia (ILO) lilitoa ripoti ya utendaji kazi na tija. Katika ripoti hiyo utendaji kazi wa Mkenya ni 1:5 kwa mtanzania, mzimbabwe ni 1:7, na mtu wa EU ni 1:12. Tafsiri yake Mkenya 1 aweza kuwa na tija Sawa na watanzania 5. Kwa stori ya hii walau ile ripoti ya ILO nimeanza kuelewa.

Hesabu zako hazieleweki, kwa hesabu zako hapo nani yuko juu?
 
Kimoja cha wizi kitamu cha fasta
 

Attachments

  • sex in the office.jpg
    sex in the office.jpg
    20 KB · Views: 1,381
Tamalisa
Hizo mambo hazina cha usomi dada angu, bosi wa IMF yule mfaransa alitaka kula tena kwa kulazimisha mhudumu wa hoteli, Zuma yeye alikula mwathilika tena peku

Kumbuka Zuma siyo msomi
 
Last edited by a moderator:
Duh watu mna ujasiri kufanya ngono ofisini.... NEVER
 
Back
Top Bottom