Chimunguru
JF-Expert Member
- May 3, 2009
- 10,678
- 4,370
Hakuna taifa lililokamilika maana maadili huanzia kwenye familia ambako kwa sasa familia nyingi zinanuka uozo wa maadili. Kiukweli makampuni yote ya simu kwa ujumla wake yana uozo mkubwa. Hili linachangiwa na mambo mengi ikiwema wengi wao wanaoajiriwa huko ni wahuni sana. Mabinti mwenyewe ndo wananuka kwa mfano pale davo msichana mmoja anaboys zaidi ya 30! Per day!
Mkuu ss3 davo ni noma pale kama zipu haifungi unaweza ukanenepa ghafla