Wafanyabiashara 2,900 kuhama soko kuu la Kariakoo

Wafanyabaishara 2,900 kutoka Ilala wamefunga biashara zao, wengine kuhamia DRC na Msumbiji kutokana na mdororo wa kibiashara- HT @ MWANANCHI

Daah Leo Nimeona Nyama 1Kg inauzwa sh. 5,000/= Kwa Dar es salaam kutoka 8,000/=

Myth.
TIJARA KWA WALAJI
 
Ahahahaha
 
Adui wa Uchumi ni kutokusanya kodi, na adui wa kodi informal business sasa cha kushangaza mkuu marafiki na inform.
Ukusanye toka wapi wakati matajiri wanatakiwa waishi km mashetani,biashara zinafungwa labda kwenye magari,na Kwa usawa huu watu wanatii sheria ili kukwepa kuchomolewa 30,
 
Duuu!Naona povu lime kutoka sana!shushia na maji!
 
Wafanyabaishara 2,900 kutoka Ilala wamefunga biashara zao, wengine kuhamia DRC na Msumbiji kutokana na mdororo wa kibiashara- HT @ MWANANCHI

Daah Leo Nimeona Nyama 1Kg inauzwa sh. 5,000/= Kwa Dar es salaam kutoka 8,000/=

Myth.
Siku zote Dar kuna nyama ya Daraja la kwanza la pili na la tatu. Sasa wewe 5000 imekushangaza nini na ndio bei ya daraja lako
 
Mbali na kushuka bei sababu ya ukame vijijini, watu hawana uwezo wa kununua nyama sababu ya ugumu wa maisha, kila zama na kitabu chake,atakuja mwingine ataachia,ndo maisha yetu kwenda mbele kurudi nyuma kurudi nyuma kwenda mbele.
Subiri ng'ombewanenepe bei ziongezeke halafu urudi hapa.
 
Raha sana siku hizi nyama kwangu kama maharage si Mboga nakula kila siku hasa Jioni hivi Niko dogo la kuchomea nyama nyumbani linauzwa Bei gani?
Na lenyewe limeshuka bei ni 1000 tu
 
Hakuna nchi duniani isiyowataka wafanyabiashara zaidi ya Tanzania..
Sijui nimekufananisha au? Hivi wewe na Magu ni ndugu, au mlisoma kozi moja? Aisee watu wanafanana!! Kweli duniani wawili wawili!!!
 
Pumba za Lumumba
 
Umetokwa povu jingi, hila mawazo yako bado finyu!!!!!!
 
Ukusanye toka wapi wakati matajiri wanatakiwa waishi km mashetani,biashara zinafungwa labda kwenye magari,na Kwa usawa huu watu wanatii sheria ili kukwepa kuchomolewa 30,
Hatari sana. Nakiona kipindi kigumu sana cha mkuu huko mbeleni. Na kitu kibaya zaidi, PR yake na development partners haipo vizuri na hao DP wameshajua kwamba jamaa siye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…