Mavipunda JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 7,072 Reaction score 7,891 Mar 15, 2017 #81 Tunaingia chaka...
M markj JF-Expert Member Joined Jul 6, 2012 Posts 1,778 Reaction score 685 Mar 15, 2017 #82 falcon mombasa said: tayari ccm imepoteza kura 2900 za wafanyabiashara, kura 5000 za wanafamilia wa wafanyabiashara na kura 10000 za wafanyakazi wa wafanyabiashara hao Click to expand... jidanganye
falcon mombasa said: tayari ccm imepoteza kura 2900 za wafanyabiashara, kura 5000 za wanafamilia wa wafanyabiashara na kura 10000 za wafanyakazi wa wafanyabiashara hao Click to expand... jidanganye
M markj JF-Expert Member Joined Jul 6, 2012 Posts 1,778 Reaction score 685 Mar 15, 2017 #83 Zamaulid said: hiyo nyama ya elfu tano iko wapi! Click to expand... dsm hii hii mkuu au wewe unanunulia mlimani city,huku uswazi 5000 kilo
Zamaulid said: hiyo nyama ya elfu tano iko wapi! Click to expand... dsm hii hii mkuu au wewe unanunulia mlimani city,huku uswazi 5000 kilo
kbosho JF-Expert Member Joined Jun 4, 2012 Posts 13,034 Reaction score 6,571 Mar 15, 2017 #84 siami ng'o.....ila naisoma number.....
Zamaulid JF-Expert Member Joined May 25, 2009 Posts 19,697 Reaction score 15,497 Mar 17, 2017 #85 markj said: dsm hii hii mkuu au wewe unanunulia mlimani city,huku uswazi 5000 kilo Click to expand... hapana nami niko uswazi tunauziwa elfu sita
markj said: dsm hii hii mkuu au wewe unanunulia mlimani city,huku uswazi 5000 kilo Click to expand... hapana nami niko uswazi tunauziwa elfu sita