Wafanyabiashara: Chanzo la tatizo Kariakoo ni Kitengo cha Forodha Bandarini, Mawaziri hawamsaidii Rais

Wafanyabiashara: Chanzo la tatizo Kariakoo ni Kitengo cha Forodha Bandarini, Mawaziri hawamsaidii Rais

Tusipo tengeneza strong institution....hata aje malaika usitegemee ataweza kuongoza.....................

Ulicho andika ni insult Kwa Dr.Ashatu kijaji kuhusu PhD

Nacho amini na kukijua tusipo tengeneza strong institution.......
HATA,
WEWE UNAE JINASIBU NA KUTYPE HAPA UKIPEWA UKAONGOZE UTADONDOKEA PUA......

9 December 2023 tunafikisha miaka 62 ya Uhuru wa TANGANYIKA still tumethubutu, tumeshindwa, tujipange kama taifa....
Strong isitution unajengaje kwa kizazi hik cha walarushwa .strong situation lazima uwapate watu strong ndo watatrngenezs strong institutional
 
UONGO BHANA HUO UONGO kwani hatujui wengi wa maafisa wa TRA ni wachaga na wote lao na Mbowe na CHADEMA ni moja- kuikosanyisha seriakli ya CCM na wananchi. KATAA SASA
Fikra duni kabisa
 
Ndio tatizo la kupeana kazi kwa kubebana wakati sifa hawana
 
Kila siku Rais anaonekana hana makosa aiseeee
 
Fikra duni kabisa
Ukiangalia juu juu uko sawa lakini kwa ndani ukichugunza sana utaelewa. Kama siyo akiliya KICHADEMA CHADEMA Afisa wa TRA unawezaje kuliita agizo la rais maneno ya jukwaani?
 
Sasa hivi bandari inamilik8wa na Kikwete kupitia Gharib wa GSM na kampuni yake ya Silent Ocean zamani ikiitwa Home Shopping Center.
 

Naibu Katibu Mkuu Jumuiya ya Wafanyabiashara wa Mkoa wa Dar es Salaam, Muliro amesema: “Changamoto ya Kariakoo chanzo ni Bandarini kwenye kitengo cha Forodha, pale mifumo ya kodi si rafiki, ukitaja thamani ya kodi halisi hauwezi kutoa mzigo.

Kinachofuata unashirikiana na makamishna wa Forodha mnadanganya kwa pamoja, mfano mzigo wa Tsh. Milioni 300 mnasema una thamani ya Tsh. Milioni 80, hivyo ukishadanganya Bandarini ukija kwenye soko unashindwa kuandika uhalisia kwenye Mashine ya EFD, matokeo yake inatokea kamatakamata.

Tumeshafikisha malalamiko kwa Waziri wa Fedha na Waziri wa Viwanda lakini ni kama wanamtesa Rais kwa kuwa hawamsaidii ipasavyo.

Serikali irudi Bandarini ikaboreshe, sasa hivi Afisa wa Kodi anaweza kuamka akasema hana hela, akiingia mtaani kwenye kamatakamata hawezi kukosi si chini ya Tsh. Milioni 5
Sio mawaziri hawamsaidii... Kama mpka wewe huko umelijua hili unadhani yeye hajui? Hapa analakujibu.
 
Back
Top Bottom