Strong isitution unajengaje kwa kizazi hik cha walarushwa .strong situation lazima uwapate watu strong ndo watatrngenezs strong institutionalTusipo tengeneza strong institution....hata aje malaika usitegemee ataweza kuongoza.....................
Ulicho andika ni insult Kwa Dr.Ashatu kijaji kuhusu PhD
Nacho amini na kukijua tusipo tengeneza strong institution.......
HATA,
WEWE UNAE JINASIBU NA KUTYPE HAPA UKIPEWA UKAONGOZE UTADONDOKEA PUA......
9 December 2023 tunafikisha miaka 62 ya Uhuru wa TANGANYIKA still tumethubutu, tumeshindwa, tujipange kama taifa....
Fikra duni kabisaUONGO BHANA HUO UONGO kwani hatujui wengi wa maafisa wa TRA ni wachaga na wote lao na Mbowe na CHADEMA ni moja- kuikosanyisha seriakli ya CCM na wananchi. KATAA SASA
Sifa za nini?sifa hawana
Kusimamia n kumsaidia aliyewateuaSifa za nini?
Cc.wazalendo wote TzStrong isitution unajengaje kwa kizazi hik cha walarushwa .strong situation lazima uwapate watu strong ndo watatrngenezs strong institutional
CCM haiwezi kumruhusu.Kwani rais akitoa maelezo ya watu kuomba na kushindanishwa atakuwa amekiuka katiba?
Bob Unaweza ukaenda shule lakini usielimike!!!Waziri wa Uwekezaji, Biashara na Viwanda Dk Ashatu Kijaji Huyu ni bomu.
Hata PhD yake Nina wasi wasi nayo.
Ukiangalia juu juu uko sawa lakini kwa ndani ukichugunza sana utaelewa. Kama siyo akiliya KICHADEMA CHADEMA Afisa wa TRA unawezaje kuliita agizo la rais maneno ya jukwaani?Fikra duni kabisa
Kwa hiyoSasa hivi bandari inamilik8wa na Kikwete kupitia Gharib wa GSM na kampuni yake ya Silent Ocean zamani ikiitwa Home Shopping Center.
Sio mawaziri hawamsaidii... Kama mpka wewe huko umelijua hili unadhani yeye hajui? Hapa analakujibu.
Naibu Katibu Mkuu Jumuiya ya Wafanyabiashara wa Mkoa wa Dar es Salaam, Muliro amesema: “Changamoto ya Kariakoo chanzo ni Bandarini kwenye kitengo cha Forodha, pale mifumo ya kodi si rafiki, ukitaja thamani ya kodi halisi hauwezi kutoa mzigo.
Kinachofuata unashirikiana na makamishna wa Forodha mnadanganya kwa pamoja, mfano mzigo wa Tsh. Milioni 300 mnasema una thamani ya Tsh. Milioni 80, hivyo ukishadanganya Bandarini ukija kwenye soko unashindwa kuandika uhalisia kwenye Mashine ya EFD, matokeo yake inatokea kamatakamata.
Tumeshafikisha malalamiko kwa Waziri wa Fedha na Waziri wa Viwanda lakini ni kama wanamtesa Rais kwa kuwa hawamsaidii ipasavyo.
Serikali irudi Bandarini ikaboreshe, sasa hivi Afisa wa Kodi anaweza kuamka akasema hana hela, akiingia mtaani kwenye kamatakamata hawezi kukosi si chini ya Tsh. Milioni 5