ommytk
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 520
- 1,143
Wafanyabiashara wetu kweli hamna huruma maana vitu vimepanda na mnashindana kupandisha bei kweli.
Hata kama mafuta yamepanda ila mbona nauli za magari azijapanda? Na pia kuna bidhaa tu za humu ndani ambazo hata hazitoki nje nazo mmeoandisha maradufu.
Ila sawa tu, tutaishi tu amtukomoi
Hata kama mafuta yamepanda ila mbona nauli za magari azijapanda? Na pia kuna bidhaa tu za humu ndani ambazo hata hazitoki nje nazo mmeoandisha maradufu.
Ila sawa tu, tutaishi tu amtukomoi