Wafanyabiashara Kariakoo: Jengo lililoanguka Kariakoo halikubeba tani 850. Hii inamaanisha Rais alipewa taarifa zisizo sahihi?

Aisee, umenifumbua nisivokuwa navijuwa
 
Twenty fit Nina hadi Bill of landing kama unataka ushahid container 8 za tiles nimezisimamia mwenyewe container hadi container zote 8 zinaingia stoo, na kila container inazidi tani 20.
Ndio nasema inategemea na mzigo lakin hakuna ghorofa inaweza kubeba container 32 eti tani 850 na ikahimili kkkoo. Huo ni uongo
 
We ndio wa kuhtaji machimbo mi nipo kkoo. Hakuna mchina mwenye godown kkoo zaid floor na mzigo unakuta ni viatu vya kitoto ambavyo sio vizito.
Hivi ni vya kitoto,vyepesi!?
 

Attachments

  • IMG-20241212-WA0010.jpg
    122.5 KB · Views: 1
Ghorofa nyingi kkoo ni za kidaressalam haziko katika viwango vya kimataifa. So kwa jins tu zilivyojengwa haziwez kamwe kuhimili huo mzigo
 
wasilete
wasituletee porojo ktk mambo ya kitaalam. Watuambie lilikuwa limebeba uzito kiasi gani.
 
Wewe kaa kimya nyie ndo vichwa maji mnapokea kila ujinga unaotolewa!
Jengo lina floor tatu libebe tani 850 hivi uko na akili kweli au umejaza usaha kichwani huko!
we acha kutumia makalio kufikiri hiyo kazi imefanywa na wataalam kutumia vyombo vya kisasa
 
Hivi ni vya kitoto,vyepesi!?
Nyepes sana hii ni pvc chief angalia kwenye box hapo watakuambia ni kg ngapi. Narudia kukuambia hakuna ghorofa kkoo inaweza kuchukua conteiner 32 tani 850 na ikawa salama. Ujenz wetu tunaujua.
 
Nyepes sana hii ni pvc chief angalia kwenye box hapo watakuambia ni kg ngapi. Narudia kukuambia hakuna ghorofa kkoo inaweza kuchukua conteiner 32 tani 850 na ikawa salama. Ujenz wetu tunaujua.
Mwanzo ulisema kuna viatu vya watoto,nimekuwekea vya watu wazima,unadai chepesi,ulivibeba wewe kupandisha ghorofa ya kumi?..mizigo ya viatu iliyopo ghorofa zingine kwenye hili jengo umeiona!?..acha ujuaji
 
Mwanzo ulisema kuna viatu vya watoto,nimekuwekea vya watu wazima,unadai chepesi,ulivibeba wewe kupandisha ghorofa ya kumi?..mizigo ya viatu iliyopo ghorofa zingine kwenye hili jengo umeiona!?..acha ujuaji
Pvc ni nzito? We vip hiyo sendo uliyotuma hapo haifiki 25 ni za shamba la bibi hilo ni local by material ambayo ni nyepesi sana. Bro mi ninayo nyumba hapa kkoo na naweka mizigo kwenye floor nachokuambia kwa ujenz huu wa kitanzania hasa kkoo hakuna nyumba inaweza kuchukua makasha 32 yaan tano 850 ni isianguke. Ndio maana nikakuambia nionyeshe mchina mmoja mwenye hiyo godown ya tani 850 kkoo. wachina wengi wenye mizigo store mara nyingi ni viatu vya kitoto na mokasini wanakuwa na godown chang'ombe huko nk. Usifanye mchezo na tani 850 mzee. Hiyo nyumba cjui utaweka nondo mlmt ngap na kwa ukubwa upi ibalance.
 
kumbe ufuta? Kaa kimya hakuna unalojua.
Sawa, tani 12,000 za ufuta nadeal nazo halafu unaniambia hakuna ninalojua!!??

Wewe utakuwa mmojawapo wa wale wanaoamini kuwa kilo moja ya pamba ni nzito kuliko kilo moja ya mahindi!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…