Wafanyabiashara Kariakoo na TRA Sasa mambo safi, waandaa bonanza la michezo kati ya timu ya TRA na wafanyabiashara

Wafanyabiashara Kariakoo na TRA Sasa mambo safi, waandaa bonanza la michezo kati ya timu ya TRA na wafanyabiashara

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Kumekucha, wale wengine mliokuwa na nongwa, mshike jembe mkalime.

TRA na wafanyabiashara wa Kariakoo sasa ni damu damu, wameandaa bonanza la michezo kati ya timu ya wafanyabiashara na TRA. Hakika Rais Samia ameziba ufa uliokuwapo na imani kati yao imekuwa kubwa.

Viva Tanzania!

Screenshot_20230630-141106.jpg
 
Waziri wa Biashara Dr Kijaji: Kariakoo hakuna Mgomo ni mambo ya Demokrasia tu😂😂
 
Kama wananchi ndio dizain yako, tuna safari ndefu sana kama taifa.
 
Wafanye maandamano ya kumpongeza Raisi
 
Back
Top Bottom