DOKEZO Wafanyabiashara Kibaha tunaishi kama digidigi, tunawakimbia Halmashauri ambao wanafunga maduka yetu

DOKEZO Wafanyabiashara Kibaha tunaishi kama digidigi, tunawakimbia Halmashauri ambao wanafunga maduka yetu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Tatizo TRA imejaa washenzi njaa kali wanatafuta ada ya shule, wanakulima kodi ya milioni 100 wakati unauza mabati na misumari ili uwatemee bungo
 
Huyu mkurugenzi mpya kuna kitu anakitafuta anazunguka na migambo anakusanya 500 kila siku bila kutoa lisiti hizo hela zinaenda wap
 
Back
Top Bottom