Wafanyabiashara kutoka Tanzania kufuata mizigo ya bei nafuu Uganda, imekaaje?

NDO UMECHANGANUA NN SASA HAPO?
 
Mkuu ni kuwa ukadiriaji wa kodi kwetu ni wa kukomoa kitu unanunua $10 wao wanasema $20 sasa ukilipa kodi kwa kiwango hicho lazima bei itapanda. Hakuna kuaminiana kati ya mwagizaji na tra.
Mani, hiyo concept ya Kodi kubwa inabidi kuifikiria zaidi.

Ukisema hivyo ina maana wafanya biashara wengi hawalipi Kodi wanapoingiza mzigo kuja Tanzania. Je hii ni kweli.
 
Titty, sijaelewa huu mfano.
 
Mani, hiyo concept ya Kodi kubwa inabidi kuifikiria zaidi.

Ukisema hivyo ina maana wafanya biashara wengi hawalipi Kodi wanapoingiza mzigo kuja Tanzania. Je hii ni kweli.
Bei ya mzigo inapokuwa kubwa definitely na kodi itakuwa kubwa kwa sababu ni %ya thamani ya mzigo ndio huzaa kodi.
 

Nchi hii inaendeshwa kwa neema ya Mungu. Unajua asilimia kati 40-70 ya petrol,spea za magari, na bithaa zingine zinakatwa kodi lundo VAT,Ushuru,Ushuru wa barabara nk.
 
Sometime nahisi hata thamani ya pesa yao kuwa ndogo inaweza kuwa sababu
 
Mani, hiyo concept ya Kodi kubwa inabidi kuifikiria zaidi.

Ukisema hivyo ina maana wafanya biashara wengi hawalipi Kodi wanapoingiza mzigo kuja Tanzania. Je hii ni kweli.
Hapo kila mtu anambinu yake yakuyingiza mzigo. Kingine kwa mfano Toyota harrier unaweza kuyinunua hela ya uganda milion 15 ambao ni sawa sawa na million 10. Inategemea na model. Kwahiyo sisi tunacheza tu na dollar wapi chini. Unanua huko

Sent from my GT-N7100 using JamiiForums mobile app
 
NDO UMECHANGANUA NN SASA HAPO?
Uliza tu vizuri ntakujib. Maana wote wafanya biashara wananunua sehem moja kwa pesa moja maybe dollar. Sasa swala linakuja pesa ya uganda na tz inapishana kwa 1.5. Ukichukua mzigo inakua nafuu sana

Sent from my GT-N7100 using JamiiForums mobile app
 
Duh!!! Unaweza ukawa na uzoefu ila nina waswas mkubwa na mahesabu yako ya kiuchumi. Hasa kwenye hilo la thamani za fedha na kubadili fedha
 
Hii imekaa vizur[emoji106]
 
pesa ya Uganda iko chini. inaweza kuwa sababu. Ukienda mtukula ukachange hata 1Mtzs unapata pesa za uganda za kutosha na unanunua vitu kibao.
ila wenyeji wa hizo safari wanajua mengi zaidi
Unaboa maana zinanunuliwa kwa dollars
 
Hata vifaa vya Simu uganda ni bei rahisi ukilinganisha na dar..Ukweli ni kwamba hapa ubora wa bidhaa na kodi wanayolipa ni sabb ya wafanyabiashara wengi kwenda kuchukua mzigo kule licha ya mzigo mwingine kupitia hapa dar ila bado ukiufata kule ni bei rahisi tofaut na hapa kwetu
 
Tofauti ya Mombasa na bandari yetu pendwa ni nini ?!
Kinachotokea Uganda na mombasa ni kama TZ na Rwanda. Kama mzigo ni wa Uganda hauguswi unapita moja kwa moja kuna mikataba maluum baina ya nchi hizo kwa hiyo kama sio wa mombasa hautozwi pale unatozwa nyumbani wanalipia mandaari tu

Sent from my GT-N7100 using JamiiForums mobile app
 
Hiyo ndo sababu kubwa.
 
Titty, sijaelewa huu mfano.
Nilimanisha. Mganda na mTZ wakienda kuchukua nguo say kwa dola 5. Either guangzo au shangai wareva.
Mtanzania 5×2500= 12000 TZ sh
Uganda pia dollar ina range kwenye 2500 itakua pia 12000 ug sh.
Sasa inamaana ukibadilisha 12000 itakuja 8000 ya tz kuliko uyichue kwa 15000 bora uende ug ununue kwa 8000. Cjui kama tupo sawa. Mwenye kufanya biashara mwengine atowe uzoef tafadhali


Sent from my GT-N7100 using JamiiForums mobile app
 
Hiyo ni kweli kabisa ndugu yangu. Vitu pale Kampala vina ubora wa juu kulinganisha na vinavyouzwa Kariakoo! Nilikuwa UG kwa miaka 4 ya masomo, naweza thibitisha hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…