Wafanyabiashara: Licha ya Dola Kushuka Bei ila Upatikanaji Wake ni Mgumu.Wadai Matajiri wa sekta ya Utalii Wameficha Majumbani Mwao

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Wafanyabiashara wanadai kwamba licha ya Dola kushuka bei dhidi ya Shilingi ila upatikanaji Wake Bado ni mgumu japo sio sana kama miezi 6 iliyopita.

Wakihojiwa na gazeti hili wamedai watajiri wa sekta ya Utalii Wameficha Dola Majumbani Mwao wanasubiria ipande ndio wauze.

Inadaiwa licha ya bei kushuka kwenye maduka rasmi ikiwemo banks Bado tatizo la kuficha Dola limekithiri kiasi kwamba bei yake ni kubwa kwenye soko lisilo rasmi hivyo bei rasmi kuwa kama kiini macho.

Mmja wa mfanyakasi wa benki amesema watu hawatunzi pesa benki badala yake wanatunza wanakojua wao hivyo Kufanya upatikanaji Wake kuwa mgumu na kuadimika makusudi Ili tuu bei zipande.

View: https://x.com/TheGuardianTzO1/status/1875444566117187761?s=19

Swali.
Je Serikali imeshindwa kutatua shida ya wanaoficha Dola?

Inaelekea miamala Mingi kwenye sekta ya Utalii Bado inatumia Dola badala ya Shilingi licha ya maelekezo ya serikali,Je Mwigulu unalojua hili?

View: https://www.instagram.com/reel/DEkTqXRs1o-/?igsh=em81ZGUwZWFld3F6
 
Itakuwa ni habari mbaya sana kama hata watu wachache tu tena kwenye sekta moja wanaweza kuwa na misuli ya kutosha kutikisa mzunguko wa dola wa nchi!
 
Kama watu wachache tu wanaweza kuficha dola na kusababisha iadimike ina maana uchumi wa nchi ni dhaifu sana na unashikiliwa na watu wachache sana.
Uchumi ni zaidi ya kuwa na Dola.Utalio ndio chanzo Kikuu Cha forex so labda TU diversify exports
 
Itakuwa ni habari mbaya sana kama hata watu wachache tu tena kwenye sekta moja wanaweza kuwa na misuli ya kutosha kutikisa mzunguko wa dola wa nchi!
Sio swala la habari mbaya,vyanzo vya forex vikubwa ni

Utalii (main)
Madini(Dhahabu)
Mazao ya Kilimo (kiasi kidogo)
 
Kwa hiyo kama Magufuli angefunga mipaka kuzuia watalii enzi za COVID tusingekuwa na dola za kuagiza bidhaa za nje?!
Wala hakuhitaji kufunga Bali kukataa Chanjo ni automatically Utalii ulijifunga
 
Mtawaponza hao matajiri.
Ni hatari sana kujulikana kuwa umegeuza nyumbani kwako kuwa hazina ya dollars, hasa kipindi hiki cha utekaji nyara
Kama wanakwamisha uchumi washughulikiwe,haiwezekani juhudi za serikali ziishie hewani.
 
Wafanyabiashara wanadai kwamba licha ya Dola kushuka bei dhidi ya Shilingi ila upatikanaji Wake Bado ni mgumu japo sio sana kama miezi 6 iliyopita.

Wakihojiwa na gazeti hili wamedai watajiri wa sekta ya Utalii Wameficha Dola Majumbani Mwao wanasubiria ipande ndio wauze.

Inadaiwa licha ya bei kushuka kwenye maduka rasmi ikiwemo banks Bado tatizo la kuficha Dola limekithiri kiasi kwamba bei yake ni kubwa kwenye soko lisilo rasmi hivyo bei rasmi kuwa kama kiini macho.

Mmja wa mfanyakasi wa benki amesema watu hawatunzi pesa benki badala yake wanatunza wanakojua wao hivyo Kufanya upatikanaji Wake kuwa mgumu na kuadimika makusudi Ili tuu bei zipande.

View: https://x.com/TheGuardianTzO1/status/1875444566117187761?s=19

Swali.
Je Serikali imeshindwa kutatua shida ya wanaoficha Dola?

Inaelekea miamala Mingi kwenye sekta ya Utalii Bado inatumia Dola badala ya Shilingi licha ya maelekezo ya serikali,Je Mwigulu unalojua hili?

Hakuna anayeficha Dollar iko kibao mtaani
 
Back
Top Bottom