ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Wafanyabiashara wanadai kwamba licha ya Dola kushuka bei dhidi ya Shilingi ila upatikanaji Wake Bado ni mgumu japo sio sana kama miezi 6 iliyopita.
Wakihojiwa na gazeti hili wamedai watajiri wa sekta ya Utalii Wameficha Dola Majumbani Mwao wanasubiria ipande ndio wauze.
Inadaiwa licha ya bei kushuka kwenye maduka rasmi ikiwemo banks Bado tatizo la kuficha Dola limekithiri kiasi kwamba bei yake ni kubwa kwenye soko lisilo rasmi hivyo bei rasmi kuwa kama kiini macho.
Mmja wa mfanyakasi wa benki amesema watu hawatunzi pesa benki badala yake wanatunza wanakojua wao hivyo Kufanya upatikanaji Wake kuwa mgumu na kuadimika makusudi Ili tuu bei zipande.
View: https://x.com/TheGuardianTzO1/status/1875444566117187761?s=19
Swali.
Je Serikali imeshindwa kutatua shida ya wanaoficha Dola?
Inaelekea miamala Mingi kwenye sekta ya Utalii Bado inatumia Dola badala ya Shilingi licha ya maelekezo ya serikali,Je Mwigulu unalojua hili?
View: https://www.instagram.com/reel/DEkTqXRs1o-/?igsh=em81ZGUwZWFld3F6