ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
- #21
🚮🚮Kweni huyo mwarabu tajiri aliyeuziwa Loliondo nae kaficha Dollar?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🚮🚮Kweni huyo mwarabu tajiri aliyeuziwa Loliondo nae kaficha Dollar?
Kwani ni lazima kuweka pesa benki?Kama wanakwamisha uchumi washughulikiwe,haiwezekani juhudi za serikali ziishie hewani.
Hiyo ngoma ya Covid, utalii ulicheza sana, watu walifunga sana kampuni, watalii waliadimikaKwa hiyo kama Magufuli angefunga mipaka kuzuia watalii enzi za COVID tusingekuwa na dola za kuagiza bidhaa za nje?!
Vijana tunawarudisha shule Dollar tumeipata kiwepesi mno🐼Mtaa gani? Unabishana na wafanyabiashara?
Hujui sheria inayozuia hoarding? Kama kutembea tuu na bulungutu ni kosa sembuse ku hoard pesa? Una distort circulation Kwa kutengeneza scarcity ya mchongo.Kwani ni lazima kuweka pesa benki?
Kwa sheria gani mtu kuweka pesa nyumbani kwake ni kuhujumu au kukwamisha uchumi??
Siijui hiyo sheria, labda na hao matajiri pia wanaodaiwa kuficha $ majumbani kwao hawaijui. Iweke hapa hiyo sheria inayozuia mtu kuweka kiasi fulani cha pesa yoyote nyumbani kwake, na kiwango halisi cha TZS na $ ambacho mtu hatakiwi kukaa nacho nyumbani kwake kisheria.Hujui sheria inayozuia hoarding? Kama kutembea tuu na bulungutu ni kosa sembuse ku hoard pesa? Una distort circulation Kwa kutengeneza scarcity ya mchongo.
Wanaijua sana tuu ila wanasema ukifuatisha sana mifumo huwezi kuwa tajiriSiijui hiyo sheria, labda na hao matajiri pia wanaodaiwa kuficha $ majumbani kwao hawaijui. Iweke hapa hiyo sheria inayozuia mtu kuweka kiasi fulani cha pesa yoyote nyumbani kwake, na kiwango halisi cha TZS na $ ambacho mtu hatakiwi kukaa nacho nyumbani kwake kisheria.
Acha porojo zako hakuna sheria yoyote inayolazimisha mtu kuweka pesa benki, hata wale wafanyabiashara wanaokamatwaga na wakuu wa wilaya eti wameficha sukari au mafuta huwa ni maigizo tu ndio maana hata mahakamani hawapelekwagi.Wanaijua sana tuu ila wanasema ukifuatisha sana mifumo huwezi kuwa tajiri
Siku ukibambwa ndio Utajua ni porojo au ni sheria 👇👇Acha porojo zako hakuna sheria yoyote inayolazimisha mtu kuweka pesa benki, hata wale wafanyabiashara wanaokamatwaga na wakuu wa wilaya eti wameficha sukari au mafuta huwa ni maigizo tu ndio maana hata mahakamani hawapelekwagi.
Dola kuadimika au kuwa nyingi ni macroeconomic issue, fix macroeconomic issues na dola itakaa sawa. Hivyo hivyo kwa sukari na mafuta, ni masuala ya market forces tu za demand and supply, sio suala la nguvu za mwili na mitutu.
Kama ni suala la tofauti na hilo(mfano sheria mbovu na kutokuwepo usiri wa kibenki) ukiwalazimisha kwa nguvu ndio utaharibu zaidi, kama ni kweli wamezificha watazitoa hata huko majumbani mwao wazipeleke nchi jirani na ulaya.