Wafanyabiashara: Licha ya Dola Kushuka Bei ila Upatikanaji Wake ni Mgumu.Wadai Matajiri wa sekta ya Utalii Wameficha Majumbani Mwao

Wafanyabiashara: Licha ya Dola Kushuka Bei ila Upatikanaji Wake ni Mgumu.Wadai Matajiri wa sekta ya Utalii Wameficha Majumbani Mwao

Kwa hiyo kama Magufuli angefunga mipaka kuzuia watalii enzi za COVID tusingekuwa na dola za kuagiza bidhaa za nje?!
Hiyo ngoma ya Covid, utalii ulicheza sana, watu walifunga sana kampuni, watalii waliadimika
 
Kwani ni lazima kuweka pesa benki?
Kwa sheria gani mtu kuweka pesa nyumbani kwake ni kuhujumu au kukwamisha uchumi??
Hujui sheria inayozuia hoarding? Kama kutembea tuu na bulungutu ni kosa sembuse ku hoard pesa? Una distort circulation Kwa kutengeneza scarcity ya mchongo.
 
Tatizo la dollar litaisha kama tutakua na uzalishaji mkubwa na kuuza nje lakini vinginevyo inakua ni faraja ya muda mfupi kisha tunarudi kule kule.

Tanzania tuna vyanzo vichache sana vya kupata dollar, kwanza utalii, mauzo ya mazao kama korosho nje na mauzo ya madini kama dhahabu.

Vyanzo hivyo haviingizi fedha za kigenzi za kutosha kulinganisha naahitaji yake ya manunuzi nje ya nchi hivyo kupelekea kua na nakisi ana deficit kubwa ya fedha za kigeni nchini.
 
Hujui sheria inayozuia hoarding? Kama kutembea tuu na bulungutu ni kosa sembuse ku hoard pesa? Una distort circulation Kwa kutengeneza scarcity ya mchongo.
Siijui hiyo sheria, labda na hao matajiri pia wanaodaiwa kuficha $ majumbani kwao hawaijui. Iweke hapa hiyo sheria inayozuia mtu kuweka kiasi fulani cha pesa yoyote nyumbani kwake, na kiwango halisi cha TZS na $ ambacho mtu hatakiwi kukaa nacho nyumbani kwake kisheria.
 
Wanaijua sana tuu ila wanasema ukifuatisha sana mifumo huwezi kuwa tajiri
 
Wanaijua sana tuu ila wanasema ukifuatisha sana mifumo huwezi kuwa tajiri
Acha porojo zako hakuna sheria yoyote inayolazimisha mtu kuweka pesa benki, hata wale wafanyabiashara wanaokamatwaga na wakuu wa wilaya eti wameficha sukari au mafuta huwa ni maigizo tu ndio maana hata mahakamani hawapelekwagi.

Dola kuadimika au kuwa nyingi ni macroeconomic issue, fix macroeconomic issues na dola itakaa sawa. Hivyo hivyo kwa sukari na mafuta, ni masuala ya market forces tu za demand and supply, sio suala la nguvu za mwili na mitutu.

Kama ni suala la tofauti na hilo(mfano sheria mbovu na kutokuwepo usiri wa kibenki) ukiwalazimisha kwa nguvu ndio utaharibu zaidi, kama ni kweli wamezificha watazitoa hata huko majumbani mwao wazipeleke nchi jirani na ulaya.
 
Siku ukibambwa ndio Utajua ni porojo au ni sheria 👇👇

View: https://www.instagram.com/reel/DEkTqXRs1o-/?igsh=em81ZGUwZWFld3F6
 
Mmiliki wa hoteli ni nani, mmiliki wa shirika la ndege, wakala wa tiketi, mmiliki wa usafiri wa maputo na magari ni nani ?

Majibu ni kampuni za nje ndiyo wanamiliki hivyo vyote au kwa ubia na makampuni ya ndani hivyo kuanzia uwakala wa tiketi za ndege, tiketi ya ndege, malipo ya hoteli vyote kwa kiasi kikubwa hubakia huko nje na kiasi kidogo tu kinakuja nchini kwa ajili ya wabia wa ndani.

Gavana wa Benki kuu atizame mnyororo mzima wa fedha za kigeni za utalii upo kwa urefu nje ya Tanzania au ndani kabla ya kulaumu wanaosemekana ni matajiri wa ndani.

1736346487885.jpeg

Photo : Umati wa watalii Airport JNIA Dar es Salaam courtesy of Explore with Bertin : YouTube

The Impact of Tourism on Local African Economies​

Leakages in Zanzibar’s tourism sector are not confined only to employment. Accommodation, food and more are rarely locally owned and operated. In regards to accommodation, the majority of four- and five-star hotels are foreign-owned, whereas hotels with lower grades are often locally owned.12 The four- and five-star hotels are generally all-inclusive and enjoy high occupancy rates while the lower-graded hotels typically suffer low occupancy rates.13 The occupancy discrepancies are largely a result of locally-run hotels not meeting international accommodation standards, which is attributable to subjective standards of quality and lack of international investment.14 Additionally, foreign-owned hotels are more likely to be recognizable chains,...

READ MORE : Consuming Africa: The Impact of Tourism on Local African Economies
 
Back
Top Bottom