Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Ndiyo Wamemnunua Sasa Hivi Hataweza KubwekaSio marafiki,,,, Ni madoni na wezi wanaotaka kunufaika na utawala wake ili mambo yao yaende,,,,
Tayari Bi Tozo Kaingia Kwenye Mfumo Wa WafanyabiasharaHawa ujue watakuwepa kodi tilion sabaπ€£π€£ππ€£
Linchi la kidwanzi hili sjui kwann babu yangu aliridhika kuitwa mtanganyika π
Hiyo ni rushwa! Naitamka bila chenga. Hangai ukipokea hizo fedha ujue hilo ni HONGO pure and simple !Sio marafiki,,,, Ni madoni na wezi wanaotaka kunufaika na utawala wake ili mambo yao yaende,,,,
Kiziwi Sijui Kama Ataweza Kuepuka MtegoHawa wala rushwa badala ya kulipa kodi watoto wa masikini wapate huduma nzuri wameamua kutoa rushwa wazi wazi hapo TRA hutowaona kabisa
NakaziaHiyo ni rushwa!
IsidingoKifuatacho ITV ...........
Sanaa na wasanii.
Hao mafisadi na wakwepa kodi wapiga dili wala hatushtuki. WanawekezaHahahaha ama kweli wahenga walisema mkono mtupu haulambwi!! Huku akina Lissu wanahangaika na tone tone haijafika hata 150M huku mtu mwenye chungu cha kujichotea tu mabilioni anachangiwa mil 700 πππππ
Ama kweli Mbowe alikua tatizo la upinzani nchini na si Watanganyika πππππ
CC: JokaKuu Tindo G Sam Lord denning Proved Chakaza Ngongo et al
ππππππππHao mafisadi na wakwepa kodi wapiga dili wala hatushtuki. Wanawekeza