Sangamwalogesha
JF-Expert Member
- Mar 10, 2025
- 2,153
- 1,419
E
Elon Mask alivyokuwa anamchangia Trump? Alikuwa anataka nini. Acha husda na wivu wa kike. Watu wanaoweza kuchangisha 700M siyo maskini km wewe.Sio marafiki,,,, Ni madoni na wezi wanaotaka kunufaika na utawala wake ili mambo yao yaende,,,,