PreGE2025 Wafanyabiashara 'Marafiki wa Samia' wamchangia Rais Samia TSh. milioni 700 kwa ajili ya kampeni za uchaguzi mkuu 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wafanyabiashara wanaofahamika kama MARAFIKI WA SAMIA, wamemchangia Rais Samia Suluhu Hassan shilingi milioni 700 kwa ajili ya kuendesha kampeni katika kipindi cha uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba mwaka huu.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Ikulu kuna biashara Gani inayo kuruhusu kukopa hela iliukishinda uweze kuwalipa walio, kusaidia toka mkataba ya Mwl JK Nyerere
 
Wafanyabiashara wanaofahamika kama MARAFIKI WA SAMIA, wamemchangia Rais Samia Suluhu Hassan shilingi milioni 700 kwa ajili ya kuendesha kampeni katika kipindi cha uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba mwaka huu.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Hakuna lolote ni ushenzi tu uliokithiri.
 
Hawa ndo mafisadi aliyekuwa akiwapiga vita mwamba JPM
 
Wafanyabiashara wanaofahamika kama MARAFIKI WA SAMIA, wamemchangia Rais Samia Suluhu Hassan shilingi milioni 700 kwa ajili ya kuendesha kampeni katika kipindi cha uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba mwaka huu.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Duh!!!
Pesa zote hizo??
 
Ndiyo Wamemnunua Sasa Hivi Hataweza Kubweka

Mzilankende Ndiyo Aliwachana Ikulu Akawaambia Sikutumia Hata Mia Ya Mfanyabiashara Kama Nasema Uongo Ajitokeze Mtu
Pamoja na mapungufu yote ya Magufuli lakini alikuwa hacheki na majizi na wala huwezi kumtapeli kwa style hii.

Mama ajitenge na magenge ya matapeli, ccm ina asset za kutosha kugharamia kampeni za mgombea wao.

Mama awaoneshe sehemu za kupeleka misaada yao haramu kwenye upungufu wa madawati, kwa yatima na nyumba za walimu.
 
Asipojitenga Na Baadaye Lazima Watataka Kurudisha Gharama
Maeneo Uliyoyasema Wao Hawayaoni Kitendo Cha Kupkkea Wao
Inaonyesha CCM Imepokea Kwa Moyo Mkunyufu

Hawa Wafanyabiashara Wapo Wengi Sana Tanzania
Watajiinua Kila Eneo Wataipa Cash CCM Baadaye Watavimba Kama Kitumbua Kilichoweka Hamira Kisitoshe Kwenye Kikaango
 
Ccm wana uwezo wa kugharamia kampeni bila kugusa hata senti tano ya serikali.

Ccm inamiliki asset za umma imezipora imejimilikisha na pesa zinaingia kwao.

Ile kampuni yao ya Sukita waliifirisi wakaifufuwa tena sasa hivi inaitwa Jitegemee holdings company limited, inamiliki mgodi wa makaa ya mawe mbinga Ruvuma kwenye kata ya Luanda, huu mgodi una Pit 7.

Ccm ni matajili wa kutisha kama chama, halafu linatokea genge la majambazi eti wanamchangia Samia.
 
Back
Top Bottom