Sangamwalogesha
JF-Expert Member
- Mar 10, 2025
- 2,153
- 1,419
Elon Mask alivyokuwa anamchangia Trump? Alikuwa anataka nini. Acha husda na wivu wa kike. Watu wanaoweza kuchangisha 700M siyo maskini km wewe.Sio marafiki,,,, Ni madoni na wezi wanaotaka kunufaika na utawala wake ili mambo yao yaende,,,,
Huoni ht aibu unavyojiita mtoto wa maskini. Mtu hela yake ametafuta mwenyewe usimpangie matumizi. Pambana na umaskini wakoHawa wala rushwa badala ya kulipa kodi watoto wa masikini wapate huduma nzuri wameamua kutoa rushwa wazi wazi hapo TRA hutowaona kabisa
We kapuku rudi kwenu hatuna watanzania mazuzu km ww.Hawa ujue watakuwepa kodi tilion sabaπ€£π€£ππ€£
Linchi la kidwanzi hili sjui kwann babu yangu aliridhika kuitwa mtanganyika π
Word...Sio marafiki,,,, Ni madoni na wezi wanaotaka kunufaika na utawala wake ili mambo yao yaende,,,,
Una mavi kichwaniE
Elon Mask alivyokuwa anamchangia Trump? Alikuwa anataka nini. Acha husda na wivu wa kike. Watu wanaoweza kuchangisha 700M siyo maskini km wewe.
Cdm sio chama cha wauza unga, usisahau hilo.Hahahaha ama kweli wahenga walisema mkono mtupu haulambwi!! Huku akina Lissu wanahangaika na tone tone haijafika hata 150M huku mtu mwenye chungu cha kujichotea tu mabilioni anachangiwa mil 700 πππππ
Ama kweli Mbowe alikua tatizo la upinzani nchini na si Watanganyika πππππ
CC: JokaKuu Tindo G Sam Lord denning Proved Chakaza Ngongo et al
Sema vizuri, ni wauza unga na wakwepa kodi ili waendelee na uharamia wao.Wafanyabiashara wanaofahamika kama MARAFIKI WA SAMIA, wamemchangia Rais Samia Suluhu Hassan shilingi milioni 700 kwa ajili ya kuendesha kampeni katika kipindi cha uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba mwaka huu.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Mafisadiπ π πSio marafiki,,,, Ni madoni na wezi wanaotaka kunufaika na utawala wake ili mambo yao yaende,,,,
π π π π mtu anajichotea anasema amechangiwaHahahaha ama kweli wahenga walisema mkono mtupu haulambwi!! Huku akina Lissu wanahangaika na tone tone haijafika hata 150M huku mtu mwenye chungu cha kujichotea tu mabilioni anachangiwa mil 700 πππππ
Janja janja za kina MakalaPesa za walipa kodi zimebadilishwa jina halafu wametumwa wapambe kusema wamemchangia mama Abdul.
Huyu bibi sifa na upambe ni nyingi kuliko matokeo ya tunachoambiwa kafanya.
Subiri uone matokeo ya michango ya Chadema. Nyie endeleeni tu kuchekelea fedha za ufisadi na mafisadi.Hahahaha ama kweli wahenga walisema mkono mtupu haulambwi!! Huku akina Lissu wanahangaika na tone tone haijafika hata 150M huku mtu mwenye chungu cha kujichotea tu mabilioni anachangiwa mil 700 πππππ
Ama kweli Mbowe alikua tatizo la upinzani nchini na si Watanganyika πππππ
CC: JokaKuu Tindo G Sam Lord denning Proved Chakaza Ngongo et al
Hahahaha ama kweli wahenga walisema mkono mtupu haulambwi!! Huku akina Lissu wanahangaika na tone tone haijafika hata 150M huku mtu mwenye chungu cha kujichotea tu mabilioni anachangiwa mil 700 πππππ
Ama kweli Mbowe alikua tatizo la upinzani nchini na si Watanganyika πππππ
CC: JokaKuu Tindo G Sam Lord denning Proved Chakaza Ngongo et al
Ahahahahaha! Na wale ambao wanaichangia Chadema kupitia tone tone wao wanataka nini Chadema ikiingia madarakani?Sio marafiki,,,, Ni madoni na wezi wanaotaka kunufaika na utawala wake ili mambo yao yaende,,,,
Tuna mamaako sio?Hatuna rais!
Hapana, tuna mamaako ww chawa unayetegemea kulishwa na wanaume!Tuna mamaako sio?