Wafanyabiashara mnatoa bidhaa nje ya maduka hadi barabarani na kuziba njia, mnakera mno

Wafanyabiashara mnatoa bidhaa nje ya maduka hadi barabarani na kuziba njia, mnakera mno

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
9,091
Reaction score
21,087
Nimekuwa nikiona wafanyabiashara mkitoa bidhaa na kuziba barabara mnakera mno .
Mmeanza tabia za machinga .
Ukifika Mwanza Mitaa ya Liberty barabara zimejaa vyombo madiaba, magoro, nguo Midori, n.k
Unapanga bidhaa dukani unaona hazitoshi mnakuja kupanga njee barabarani na kuziba njia/ barabara.

Mlilalamika ati machinga wanawaharibia kupanga nje Sasa ya Nini na nyie mtoe bidhaa nje na kuleta misongamano isiyo ya laZima mjini.

Naomba watu wa mpango mji Dar na Mwanza lifanyieni kazi hili suala

Sina wivu lakini tujipange vizuri kila mtu apate ridhiki hata sisi wa magari tunalipa Kodi TRA
 
Kabisa mzee, wanakera sana, hasa wa vyombo na hao mamidori
 
Unaweza kupita mahali, ile barabara ya lami imebaki kidogo...kulia na kushoto mwanzo wa Lami kumejaa bidhaa, hata kupishana na gari ni mziki.
 
Back
Top Bottom