Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 2,833
- 1,301
Wafanyabiashara Ngara Watakiwa Kurasmisha Biashara Zao Ili Kupunguza Mzigo wa Kodi Kwao
Naibu Waziri wa Wizara ya Viwanda na Biashara Mhe.Exaud Kigahe (Mb) amewataka Wafanya biashara wilayani Ngara Mkoani Kagera Kurasmisha Biashara zao ili kupunguza mzingo wa kodi kwao
Mhe. Kigahe ameyasema hayo wakati akizungumza na Wafanyabiashara wilayani humo katika mkutano uliofanyika Septemba 14, 2024 katika shule ya sekondari Ngara.
Amesema iwapo Wafanyabiashara wote watarasmisha Biashara zao kwa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) itasaidia Wafanyabiashara kuwa wengi nakupunguza mzingo wa kodi katika biashara
Aidha, Mhe. Kigahe amewagiza Mamlaka ya Mapato Tanzania - TRA wilayani Ngara mkoani Kagera kuwasaidia Wafanyabiashara kukuza Biashara zao ikiwemo kuwapatia elimu ya mlipa kodi ili kuondoa malalamiko.
Attachments
-
Screenshot 2024-09-15 at 14-30-12 Viwanda Biashara (@viwandabiashara) • Instagram photos and v...png664.6 KB · Views: 5 -
Screenshot 2024-09-15 at 14-30-30 Viwanda Biashara (@viwandabiashara) • Instagram photos and v...png734.8 KB · Views: 5 -
Screenshot 2024-09-15 at 14-30-36 Viwanda Biashara (@viwandabiashara) • Instagram photos and v...png609.5 KB · Views: 5 -
Screenshot 2024-09-15 at 14-30-42 Viwanda Biashara (@viwandabiashara) • Instagram photos and v...png590.7 KB · Views: 5 -
Screenshot 2024-09-15 at 14-30-16 Viwanda Biashara (@viwandabiashara) • Instagram photos and v...png930.8 KB · Views: 5 -
Screenshot 2024-09-15 at 14-30-16 Viwanda Biashara (@viwandabiashara) • Instagram photos and v...png930.8 KB · Views: 5