Ni ukweli usiopingika kwamba wafanyabiashara wana pesa nyingi, hata ukiangalia top 20 ya matajiri hapa Tz utawakuta wafanyabiashara wamejaa wao hasa wahindi , wasarabu na wasomali, hata baada ya hapo kuna watanzania wenye asili zetu wanaofanya biasbara.
Lakini katika kigezo cha idadi ya watanzania wanaoishi maisha standard idadi kubwa ni waajiriwa hasa wa serikalini, Ni kweli wafanyabiashara ni wengi kuzidi waajiriwa lakini kuna wafanyabiashara wachache ndio wenye mafanikio, excuse ya kusema serikalini wapo wanaopiga pesa haina mantiki sababu hata kwenye biashara kuna wanaopiga pesa kwa njia nyeusi kuzidi hata waajiriwa wapigaji.
Ukienda mitaa ambayo inasifika angalau wanaishi watu wenye maisha standard basi utakuta wengi ni waajiriwa
Ukienda shule binafsi private hizi ada milioni + utawakuta wanafunzi wengi wazazi ni waajiriwa
Ajira kipato ni cha uhakika kwa muda mrefu, pia kuna kuongezewa mishahara na kupanda madaraja, Biashara upepo unaweza badilika aidha kwa ushindani, madeni, wenye mitaji mirefu kuua soko, n.k. Kufirisika kwenye biashara ni suala la kawaida, wengi walioshindwa kumaliza ujenzi na kuacha mapagala huwa ni wafanyabiashara,
Wafanyabiashara wengi wa Tz wamebanwa sana hawana muda wa kutosha kupumzika na familia zao ama kufatilia mienendo ya watoto, wengi huondoka alfajiri hurudi usiku wakiwa wamechoka, waajiriwa wengi hawajabanwa hata makazini kuna muda hutoka kufanya mambo mengine, kazi zinaisha jioni, weekemd kuna mapumziko, sikukuu kibao za kiserikali na kidini, likizo, n.k.