Checheto
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 836
- 694
Kama yangu tuNina gpa ya 2.7 gentleman
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama yangu tuNina gpa ya 2.7 gentleman
Kuna mkinga mmoja namfahamu ni anaUsichokijua ni kuwa sehemu kubwa ya waajiliwa ni bendera fuata upepo na hawaishi Kwa kutumia akili na awana uzoefu wa maswala ya pesa hivyo hili ndilo kundi kubwa linaloigiza maisha, mtu kamshahara chini ya 1 million anakopa bank anunue gari huku uhakika wa mafuta hana, anajibana kupeleka mtoto shule ya bei akiamini njia ya mafanikio ni Moja kama anayopita eye(kuajiliwa)
Upande wa pili kumkuta mfanya biashara anazungusha zaidi ya 100m na hata gari Hana kawaida tu
Bora umwambie. 😀Usichokijua ni kuwa sehemu kubwa ya waajiliwa ni bendera fuata upepo na hawaishi Kwa kutumia akili na awana uzoefu wa maswala ya pesa hivyo hili ndilo kundi kubwa linaloigiza maisha, mtu kamshahara chini ya 1 million anakopa bank anunue gari huku uhakika wa mafuta hana, anajibana kupeleka mtoto shule ya bei akiamini njia ya mafanikio ni Moja kama anayopita eye(kuajiliwa)
Upande wa pili kumkuta mfanya biashara anazungusha zaidi ya 100m na hata gari Hana kawaida tu