Wafanyabiashara ni wengi kuliko waajiriwa lakini watanzania wanaoishi angalau maisha standard waajiriwa ni wengi, Tuendelee kuponda ajira?

Wafanyabiashara ni wengi kuliko waajiriwa lakini watanzania wanaoishi angalau maisha standard waajiriwa ni wengi, Tuendelee kuponda ajira?

Usichokijua ni kuwa sehemu kubwa ya waajiliwa ni bendera fuata upepo na hawaishi Kwa kutumia akili na awana uzoefu wa maswala ya pesa hivyo hili ndilo kundi kubwa linaloigiza maisha, mtu kamshahara chini ya 1 million anakopa bank anunue gari huku uhakika wa mafuta hana, anajibana kupeleka mtoto shule ya bei akiamini njia ya mafanikio ni Moja kama anayopita eye(kuajiliwa)
Upande wa pili kumkuta mfanya biashara anazungusha zaidi ya 100m na hata gari Hana kawaida tu
Kuna mkinga mmoja namfahamu ni ana

Bora umwambie. 😀
Kuna jamaa mmoja ni rafiki yangu, yeye ni mkinga ana hela za kutosha tu, anamiliki nyumba 3, semi 2, canter 4 na hardware 2 kushusha mifuko elfu 1 ya cement ni kawaida sana...

Lakini ana watoto wake wanaosoma st kayumba nilivyomuuliza kwa nini alicheka sana akisema "yeye anaamini kwamba hata wakisoma shule za gharama bado wataishia kugombania ajira hizo hizo za mshahara wa laki 7+... 😁😁
 
Kwa kuongezea kuna dogo mmoja tulisoma wote enzi hzo baba yake alikuwa mfanyabiashara mkubwa tu, dogo alikuwa kwenye hzi shule za st kunani ghafla mambo yakayumba akarudi kuliunga na sisi kwenye kidumu na mfagio😀.

Sisi tukawa tunamdhihaki sana tukidhani tupo sawa nae, kumbe mshua wake anamuandalia mipango ya mbeleni, Dogo kumaliza tu chuo sio mwenzetu hata kidogo alitupiga gepu kubwa sana...
 
Back
Top Bottom