Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Wafanyabiashara wa soko la mabibo wafunguka kutukanwa na Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam mbele ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt Mwigulu Nchemba.
Aha ha ha kumekucha nchi imetoboka hiiWafanyabiashara wa soko la mabibo wafunguka kutukanwa na Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam mbele ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt Mwigulu Nchemba.
View attachment 3527077
Inasikitisha sana, eh serikali yote imejaa dhuluma, watu wanadhulumu wenzao bila sababu