Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Siyo lazima ni nunue bidhaa nikishukaTatizo ni ushamba na kufanya mambo kwa sifa bila uhalisia. Darhaihitaji stand moja kubwa, bali inahitaji stand nyingi ndogo ndogo.
Huo ujenzi ulikuwa ni ufisadi tu.