Nsennah
JF-Expert Member
- Jan 9, 2021
- 1,947
- 1,554
Pikipiki zina vituo vyake vilivyosajiliwa ndiyo. Na namna ya bus huwa ni stendi ya bus mengineyo ni kumsaidia abiria tu lakini kituo cha bus huwa ni stendi na si ofsini kwao. Bus ni mhimu kushusha abiria stendi ili hiace nazo zile vichwa, tudigeuze bus kufanya kazi za daladalaNa Kwa iyo pikipiki ziwe na stendi Yao na abiria wazifuate huko na kuangukia huko!!
Elewa kila kitu kina namna ya huduma yake. Je, ulishawai kuona ndege imepaki mtaani kwenu au popote ale nje ya airport? Na je, ulishawai kuona meli inapakia abiria magogoni zaidi ya bandarini?? Lakini maboti na mitumbwi yanashusha abiria popote kando ya bahari/ maziwa au mtoni.
Acha kasumba hizo na utaratibu huu uendelee.