Albaab
JF-Expert Member
- Jun 6, 2015
- 1,555
- 2,216
Mkuu umetoka jela nini? Naona unazingatia sana neno utaratibuWatu hamtaki utaratibu, Tukitaka tuendelee tufuate utaratibu. Kama kuna haja ya kuwa na Bus terminal /stand kila wilaya basi lifanyike, lakini vituo vilivyopo viheshimike.
Lakini hao wachache wanaotaka kupandisha na kushusha abiria nje ya vituo halali sio sawa.