MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Uko sahihi mkuu. Familia ndo msingi wa yote haya. Hata mafisadi wengi waliandaliwa wakiwa wadogo. Kumwambia mtoto asome kwa bidii ili aje afanye kazi serikalini kwenye marupurupu mengi ni sawa na kumwandaa fisadi kwa sababu marupurupu mengi huwa ni madili ya kifisadi serikalini. Ni muda sasa wa kujirekebisha.Ndio Taifa tulioamua kujenga. Kuanzia ngazi ya familia mpaka taifa. Wanasiasa, wafanya biashara, wamama, wababa, wanafunzi wote ni matapeli.
Tunda halianguki mbali na mti
Ndio maana watu wanataka reformUko sahihi mkuu. Familia ndo msingi wa yote haya. Hata mafisadi wengi waliandaliwa wakiwa wadogo. Kumwambia mtoto asome kwa bidii ili aje afanye kazi serikalini kwenye marupurupu mengi ni sawa na kumwandaa fisadi kwa sababu marupurupu mengi huwa ni madili ya kifisadi serikalini. Ni muda sasa wa kujirekebisha.
Mkuu reform ianzie ngazi ya familia.. kila mtu ajirekebisheNdio maana watu wanataka reform
Huwa ni kwa nini mnakwepa reforms za hapa juu kwenye uongozi?Mkuu reform ianzie ngazi ya familia.. kila mtu ajirekebishe
Kwa sasa kutoka chini kwenda juu ni ngumu sana. It will take 100 years to shape hii jamii. Kutoka juu kwenda chini ni rahisi sana na very effective. Case study Magufuli administration.Mkuu reform ianzie ngazi ya familia.. kila mtu ajirekebishe
Jikite kwenye mada mkuu.Huwa ni kwa nini mnakwepa reforms za hapa juu kwenye uongozi?
Sio kwenye biashara tu huko juu pesa zinapigwa kipumbavu sana , nchi inahitaji reformsJikite kwenye mada mkuu.
Kama hii ni hali ya taifa huyo muaminifu utamtolea wapi? Lazm zianzie ngazi ya familiaHuwa ni kwa nini mnakwepa reforms za hapa juu kwenye uongozi?
Rudia tena kusema ulichoandika hapoWengi wa wafanyabiashara kuanzia wadogo, wa kati na wakubwa wana uhaba mkubwa wa uaminifu na kuishia kuwa watu wa dhuluma.
Kumbe unajua kuhusu masuala ya reform? Na huku umekaza mshipa wa matako na sura imekukakamaa watu wanapogusia kuhusu reform? mazafakaMkuu reform ianzie ngazi ya familia.. kila mtu ajirekebishe