Wafanyabiashara wa Kariakoo Jiandaeni kwa mabadiliko haya

binafsi ninachojali ni bidhaa bora na ya bei reasonable, regardless of nani ameleta au nani anauza.
Kwa bahati mbaya ni kwamba ubora wa bidhaa na gharama ya bidhaa ni directly proportional.

Nimetolea mfano hapo juu wa kifaa kama Blender. Ubora wa Blender unachangiwa kwa kiwango kikubwa na motor. Motor ikiwa nzuri, basi blender itasifiwa kuwa inafanya kazi vizuri, imedumu nk.

Sasa kwa motor, ili iwe nzuri ni lazima iwe imesukwa na nyaya za material mazuri. Hapa nazungumzia copper. The more the purity of the copper wires windings, the better the quality ya motor husika. Na blender ambazo zimetengenezwa na hizi motor kimsingi huwa ni ghali.

Sasa si wafanyabiashara wote wanaweza ng'amua issues za copper, steel na aluminium. Hivyo kwa kujua ama kutokujua, mfanyabiashara ataenda tengenezesha blender ya nyaya za kawaida, atakuja waaminisha watu blender ni nzuri. Na atauza bei ya chini. Madhara yake ndiyo kama niliyoyaweka hapo juu ktk post zilizopita.
 
kwa wafanya biashara, hoja zako za muhimu sana, lakini kwa walaji (wateja) tunahitaji soko huria za aina hii, watu washindane, wabongo nao wasisubiri kubebwa waende china wakatafuta partnerships, wakiona china kumebana waende uturuki, ikishindikana waingia ubia na hao wachina wa hapa. ule umungumtu wa wafanyabiashara wa kariakoo hatuutaki, wacha wachangamshwe akili wajue tunaweza kuishi bila wao. binafsi napenda wachina waje tena kwa wingi na wafanye vyovyote vile inavyowezekana kwenye izo biashara hata kama wafanyabiashara wabongo wataumia ila kama sisi walaji hatuumii,wengi wape.
 
Boss ninachokwambia ni kwamba, hata wachina waje, hutoona waswahili wakikimbia kariakoo. Njia pekee ya kuwakimbiza watu kariakoo ni kwa hao unaowaita wachina waje wafungue kiwanda hapa TZ ambacho kinatengeneza kila kitu, kuanzia Chips, LED screens nk (kwa mfano wa Electronics). Tofauti na hapo hakuna kitu hao wachina watafanya ambacho wafanyabiashara wa TZ watashindwa.

Kwani hapo umezungumzia watu kuingia patnership na wachina na kuja kuuza TZ. Lakini kuna wa TZ wana huo mtaji wa kwenda china kununua na kuja leta TZ wakauza pasipo patnership.

So Kariakoo itabaki kuwa Kariakoo.
 
subiri hiyo kitu ya ubungo iishe ndio utajua watu wanapenda kariakoo au la. just wait.
 
Chukua machimbo ya biashara ukafanye biashara (Namba za simu 600 za machimbo na location zake)!

KINAUZWA
Kitabu cha Machimbo ya Biashara
Kitabu chenye machimbo 600 ya biashara kwa TSH 15,000 tu!

Kitabu hiki kina namba za simu 600 za wauzaji wa bidhaa kwa bei nafuu, jumla na rejareja.

Jinsi ya kukipata WHATSAPP: 0612607426
CALL: 0687746471

Unaweza kupakua kitabu hiki kupitia link hii:

Kwa msaada wa kupakua, wasiliana kupitia:
WhatsApp: 0612607426
Call: 0687746471

Kitabu kina sura 68 kama ifuatavyo:

Sura ya 1 hadi 5: Machimbo ya nguo za watoto, vifaa vya ofisini (stationery), vifaa vya ujenzi (hardware), dawa (pharmacy), na vinywaji.

Sura ya 6 hadi 10: Kahawa, maremba, vifaa vya mazoezi, miwani, na nywele bandia kama rasta na wigs.

Sura ya 11 hadi 20: Shati za shifoni, viatu, kofia, gauni za usiku, vitambaa vya masofa, hereni na cheni, vyombo vya jikoni, na vifaa vya michezo.

Sura ya 21 hadi 30: Pajamas, balo za mitumba, masweta, maturubai, pipi, jeans, jezi, na vifaa vya kufungashia.

Sura ya 31 hadi 40: Toys, T-shirts, diaper, bidhaa za supermarket, manukato, madera, mitandio, abaya, hijabu, na vitenge.

Sura ya 41 hadi 50: Khanga, vitambaa vya kushona, vipodozi, nguo za watoto, pochi, vifaa vya simu, mikeka, bidhaa za wachina, na sufuria sets.

Sura ya 51 hadi 60: Chupa za maji, midoli, lubricants za magari, maduvets, mashuka, mapazia, majora ya mapazia, T-shirts zinazotrend, na bidhaa za ubuyu wa Zanzibar.

Sura ya 61 hadi 68: Maua artificial, pipi, vifaa vya masofa, bidhaa za mitumba, vifaa vya kuandaa keki, na bidhaa kutoka kwa wachina moja kwa moja.
 
Wewe unayajua hayo lakini matajiri wanazidi kujenga maduka mapya kariakoo kwa wingi sana au unadhani hawajui kuhusu kituo cha ubungo? Kile kituo cha ubungo hakina jipya ukiwa na milioni 1 unapewa fremu.
 
Noted!
 
Hayawi hayawi yamekua. Sisi wenye fremu mwenge na sinza tujipange kisaikolojia
 
Hawa jamaa balaa niliongea nao wanakwambia unaunganishwa moja kwa moja na kiwanda sio supplier tena
 
Umenisemea,hao ndo kina-niffer na nilisema mwanzo kwa watu wengi sana tena wengine wakaanza kuona ni wivu unanisumbua.
Binafsi naheshimu watu walio kwenye industry for so long ,maana mbivu na mbichi wanazijua barabara
 
Point n , kariakoo itabaki kua kariakoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…