Wafanyabiashara wa madawa ya kulevya wana nguvu sana (Video ipo chini)

Nliwah kusikia kitu kama hicho, na snitch ni anapigwa risasi kama kumchinja kuku wala haina kuwazawaza ndio mana mtu akikamatwa hataji wahusika hata iweje bora mumuuue tu. Nadhan somo la kwanza kabisa wanafundishwaga ni NO SNITCHING..
Kwa mfano wewe hapo unaejua mbeleni kuna nini? Pamoja na kuwa ni yenye faida kubwa,unaachana nayo tu kwa maisha ya furaha bila hofu kwa maisha yaliyobakia duniani.

Mfano ukaifanya kuanzia ukiwa na miaka 30 hapo ukiwa na uelewa kabisa. Panga kabisa nitaifanya kwa muda wa miaka mitano tu kabla hujawa mkubwa kwenye biashara unaachana nayo tu. Hapo unakuwa unamiliki kama Bilioni 100. Hizo zitakufanya uishi mstarehe popote pale utakahamia,bila hofu wala bughudha. Huko ni kujenga apartment tu za kutosha,huku ukiweka iliyobaki kwenye hisa. Unakula huku umetulia tu maisha yako yote. Usikumbuke nyuma.
 
Ukiisha kuwa cartel ni maisha huwezi badili maana maokoto huko ni nje nje na ubabe kwa sana
Ndio hiyo inatakiwa uikwepe. Wewe fanya kimya kimya kinyemela. Usitafute kufia u-cartel. Ma-cartel ni wale magwiji katika hiyo biashara. Kufikia u-cartel ni ile hali ya kufikia kumiliki magenge. Wewe uwe na njia zako ndogo ndogo tu,muda mwingine sizijulikane sana
 
Kwa mfano wewe hapo unaejua mbeleni kuna nini? Pamoja na kuwa ni yenye faida kubwa,unaachana nayo tu kwa maisha ya furaha bila hofu kwa maisha yaliyobakia duniani.

Mfano ukaifanya kuanzia ukiwa na miaka 30 hapo ukiwa na uelewa kabisa. Panga kabisa nitaifanya kwa muda wa miaka mitano tu kabla hujawa mkubwa kwenye biashara unaachana nayo tu. Hapo unakuwa unamiliki kama Bilioni 100. Hizo zitakufanya uishi mstarehe popote pale utakahamia,bila hofu wala bughudha. Huko ni kujenga apartment tu za kutosha,huku ukiweka iliyobaki kwenye hisa. Unakula huku umetulia tu maisha yako yote. Usikumbuke nyuma.

Wanasema kuacha hiyo business ni ngumu sana labda ufungwe, majamaa yalivyo makatili ukijitoa kienyeji hata ukifungwa yanatuma watu wao wakumalize huko huko jela…
 
kuna mwana Mama aliitwa Black Widow, huyo naye alikuwa ni mtemi, alikuwa levo moja na wakina Escoba
 
Nliwah kusikia kitu kama hicho, na snitch ni anapigwa risasi kama kumchinja kuku wala haina kuwazawaza ndio mana mtu akikamatwa hataji wahusika hata iweje bora mumuuue tu. Nadhan somo la kwanza kabisa wanafundishwaga ni NO SNITCHING..
Uko sahihi kabsa
 
Back
Top Bottom