Bill of Quantity
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 1,233
- 406
Habari zenu wadau wenzangu wa Business and economics?
Mimi ni mhitimu wa chuo kikuu, mwaka huu huu wa 2015.
Nahitaji kujifunza biashara hii ya madini, ununuaji na uuzwaji wake ili baadae nione jinsi gani nitaweza kujiajiri.
Naomba mtu yeyote ambaye anafanya kazi ama anamiliki kampuni inayofanya manunuzi au mauzo ya madini anipatie nafasi ya kujifunza katika industry hii kwa ujumla.
Nitafurahi sana wakuu endapo nitafanikiwa kupata eneo la kujifunzia hii biashara kwa njia ya kufanya kazi moja kwa moja.
Napatikana Dar es salaam, japo ni mwenyeji wa Tarime Mara. Naweza kufanya kazi kokote nitakakokuwa directed kutoka kwa superiors wangu.
My regards, RadioActive.
contacts: 0653-811-003