Wafanyabiashara wa madini: Msaada wenu tafadhali

Wafanyabiashara wa madini: Msaada wenu tafadhali

Bill of Quantity

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2014
Posts
1,233
Reaction score
406
Habari zenu wadau wenzangu wa Business and economics?

Mimi ni mhitimu wa chuo kikuu, mwaka huu huu wa 2015.

Nahitaji kujifunza biashara hii ya madini, ununuaji na uuzwaji wake ili baadae nione jinsi gani nitaweza kujiajiri.

Naomba mtu yeyote ambaye anafanya kazi ama anamiliki kampuni inayofanya manunuzi au mauzo ya madini anipatie nafasi ya kujifunza katika industry hii kwa ujumla.

Nitafurahi sana wakuu endapo nitafanikiwa kupata eneo la kujifunzia hii biashara kwa njia ya kufanya kazi moja kwa moja.

Napatikana Dar es salaam, japo ni mwenyeji wa Tarime Mara. Naweza kufanya kazi kokote nitakakokuwa directed kutoka kwa superiors wangu.

My regards, RadioActive.
contacts: 0653-811-003
 
Pot naona unatafuta kazi kidijital au siyo!!!!
 
Mkuu hii kazi huwezi jifunzia ofisini cha kufanya tembelea ofisi za wanunuzi wa madini
Zungumza nao, jua masoko ya Mawe na bei zake, jichanganye na mabroker pia ongea nao.
Uje pia uende porini tembelea huko utajifunza na kuona namna gani madini yanavyozalishwa.
 
Hapa mi naa mini ni nia na malengo tu ulio jiwekea, yote yanawezekana
 
Umehitimu 2015 mbona hata majibu ya chuo hayajatoka? Maliza sap zako kwanza ndo uanze kuchakarika.

Ila umechelewa kidogo ungegombea ubunge wa ukawa ungepiga hela ndefu siunajua wakurya walivyo na akili ndogo ukisema wewe umepita chuo kikuu na unataka kuleta mabadiliko tayari wanakupa kura.
 
Complicated business leo uko Arusha kesho mtipweshi Mozambique mara shimoyo mara Nakala mara Congo mara madagasca sio kazi rahisi ngumu mno na Ina stress hatari ila karibu
 
Back
Top Bottom