Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wenye mboga wamepata hasara, sasa wewe utalipia hizo gharama za kusambaza hizo mbogamboga au na wewe akili zako nu sawa na waliozikamata?Nawaomba wasitupe au kuruhusu mboga hizi kuharibika,pls wazipeleke kwa charity house yoyote inayo deal na poor of the poorest
Sikulaumu kwa sababu uwezo wako wa kufikiri una tofauti kubwa mno na mimi,kwa hiyo kwako ungependelea pia mboga hizi zioze,inasikitisha sana ufikiri wa middle class wanguWenye mboga wamepata hasara, sasa wewe utalipia hizo gharama za kusambaza hizo mbogamboga au na wewe akili zako nu sawa na waliozikamata?
Aliyekwambia kuwa reflector inatumika usiku tu ni nani? Mshukuru sana huyo trafiki kwa kuokoa maisha yako na ya wengine, reflector ni kifaa muhimu sana kwenye gari usikidharau hata siku moja.Yaelekea wewe ulikuwa ni bodaboda.Mimi kuna trafiki mmoja juzi alikamata gari yangu school bus na kuipiga faini kwa kukosa reflector nikajiuliza school bus inatembea usiku?
Lakini alikomaa na kuandika faini.
Wafanyakazi wengi wa serikali hekima hawana wamejaa ubabe wa kindezi sana wanaumizwa wananchi.
Ningekuwa na mamlaka hao waliokamatwa mboga za watu wangekuwa hiyo hasara toka kwenye mishahara yao au waende wakauze mali zao hata kudanga ni sawa tu kikubwa pesa ilipwe.
Povu la nini dada au wewe ndio yule trafiki aliyenipiga faini ya kihuni?Aliyekwambia kuwa reflector inatumika usiku tu ni nani? Mshukuru sana huyo trafiki kwa kuokoa maisha yako na ya wengine, reflector ni kifaa muhimu sana kwenye gari usikidharau hata siku moja.Yaelekea wewe ulikuwa ni bodaboda.
Kaendeshe bodaboda kama unaona reflector ni kero kwako.Pamoja na hayo upimwe akili.Povu la nini dada au wewe ndio yule trafiki aliyenipiga faini ya kihuni?
Mimi kuna trafiki mmoja juzi alikamata gari yangu school bus na kuipiga faini kwa kukosa reflector nikajiuliza school bus inatembea usiku?
Lakini alikomaa na kuandika faini.
Wafanyakazi wengi wa serikali hekima hawana wamejaa ubabe wa kindezi sana wanaumizwa wananchi.
Ningekuwa na mamlaka hao waliokamatwa mboga za watu wangekuwa hiyo hasara toka kwenye mishahara yao au waende wakauze mali zao hata kudanga ni sawa tu kikubwa pesa ilipwe.
School bus zinaanza. kuzunguka 0400hrs huoni haja ya reflector bado?
kuna muda wanafunzi wanafanya tours na activity mbalimbali unasubiri ruti ya usiku ndio uweke reflector?
ANY WAYS SIUNGI MKONO UNYANYASAJI WA WATUMISHI WA UMMA BUT NA SISI RAIA TUNA MAMBO YETU SIYO
Unadhani hizo sheria zingefuatwa kwa asilimia 100 kuna gari lingeweza kumalizwa siku bila kupigwa faini kwa makosa mbalimbali ikiwemo ubovu wa gari husika.Sasa hapo kuna Hekima gani sheria ya usalama barabarani inasemaje?
Badala ya kupambana na wabunge wanaotunga sheria na kuwa na katiba nzuri unapambana na watu wanaosimamia sheria za kuletewa tu