Wafanyabiashara wa mboga ilala waingia hasara baada ya mboga zao kushikiliwa na mamlaka ya vipimo.

Tuache unafiki na kutaka huruma za watu.

Sheria ifuatwe
 
Nawaomba wasitupe au kuruhusu mboga hizi kuharibika,pls wazipeleke kwa charity house yoyote inayo deal na poor of the poorest
Wenye mboga wamepata hasara, sasa wewe utalipia hizo gharama za kusambaza hizo mbogamboga au na wewe akili zako nu sawa na waliozikamata?
 
Wenye mboga wamepata hasara, sasa wewe utalipia hizo gharama za kusambaza hizo mbogamboga au na wewe akili zako nu sawa na waliozikamata?
Sikulaumu kwa sababu uwezo wako wa kufikiri una tofauti kubwa mno na mimi,kwa hiyo kwako ungependelea pia mboga hizi zioze,inasikitisha sana ufikiri wa middle class wangu
 
Aliyekwambia kuwa reflector inatumika usiku tu ni nani? Mshukuru sana huyo trafiki kwa kuokoa maisha yako na ya wengine, reflector ni kifaa muhimu sana kwenye gari usikidharau hata siku moja.Yaelekea wewe ulikuwa ni bodaboda.
 
Povu la nini dada au wewe ndio yule trafiki aliyenipiga faini ya kihuni?
 
Sasa hapo kuna Hekima gani sheria ya usalama barabarani inasemaje?
Badala ya kupambana na wabunge wanaotunga sheria na kuwa na katiba nzuri unapambana na watu wanaosimamia sheria za kuletewa tu
 
Halafu analalamika eti hajatendewa haki mara hekima
 
Watanzania acheni kupenda na kuendekeza anasa kwa kula mbogamboga. Kwani nyie ni herbivorous?

Na utayakuta tu hayo matumishi ya umma yaliozuia hizo mboga ina midigrii na mimaster.
 
Sasa hapo kuna Hekima gani sheria ya usalama barabarani inasemaje?
Badala ya kupambana na wabunge wanaotunga sheria na kuwa na katiba nzuri unapambana na watu wanaosimamia sheria za kuletewa tu
Unadhani hizo sheria zingefuatwa kwa asilimia 100 kuna gari lingeweza kumalizwa siku bila kupigwa faini kwa makosa mbalimbali ikiwemo ubovu wa gari husika.
Onyo na hekima kwa trafiki ndio kupona na kufanya maisha ya watumiaji wa magari yawe na unafuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…