JAYJAY
JF-Expert Member
- Oct 31, 2008
- 8,191
- 8,490
Na huo ni ukweli. Wao Wachina wanaweza kupewa bidhaa hata kwa mali kauli kutoka kwa wachina wenzao huko nyumbani. Wakati bidhaa hiyo hiyo Mkenya ataiagiza kwa cash.Haujawasikia wakenya vizuri. Ni hivi
Wachina bidhaa zao wanauza bei nafuu zaidi kuliko wakenya. Mfano Radio wachina wanauza 200 lkn wabongo wanauza 800.
Wakipiga hesabu gharama ya mzigo kutoka china na hiyo bei ya 200 kwao ni hasara.
Hawana shida na wachina kuuza bidhaa ila ni bei. Wamesema km watauza km wao sawa ila km ni tofauti waondoke.
Soma vizuri. Nimesikiliza BBC swahili, tena wakenya walikuwa wanahojiwa