Wafanyabiashara wa Nairobi waandamana kuzuia Wafanyabiashara Wachina wadai wanaua biashara yao

Haujawasikia wakenya vizuri. Ni hivi
Wachina bidhaa zao wanauza bei nafuu zaidi kuliko wakenya. Mfano Radio wachina wanauza 200 lkn wabongo wanauza 800.
Wakipiga hesabu gharama ya mzigo kutoka china na hiyo bei ya 200 kwao ni hasara.
Hawana shida na wachina kuuza bidhaa ila ni bei. Wamesema km watauza km wao sawa ila km ni tofauti waondoke.
Soma vizuri. Nimesikiliza BBC swahili, tena wakenya walikuwa wanahojiwa
Na huo ni ukweli. Wao Wachina wanaweza kupewa bidhaa hata kwa mali kauli kutoka kwa wachina wenzao huko nyumbani. Wakati bidhaa hiyo hiyo Mkenya ataiagiza kwa cash.
 
Napenda mabadilishano ya hoja.
Swali linakuja kwa wale wanaoitetea China, je, sisi tukienda kwao tukataka kufanya biashara ya uchuuzi kwa wingi kama wao wanavyomiminika mazingira yanaruhusu au tutakula kibano cha vikwazo? Nafikiri kwa nchi zetu hizi wageni wapewe leseni ya uwekezaji class A-B, retailing ni class C ambavyo kimsingi wanatuumiza sisi. Lazima tulinde watu wetu.

Lakini nitoe pia rai kwa wafanyabiashara wetu waache kuendekeza kupata super profits. Hili ndiyo demerit wanayoiona wenzetu wanaigeuza fursa kwao kwa kufanya retailing na kuuza kwe bei poa zaidi. Siku nzote consumer anataka unafuu wa bei na ndio maana katika hayo maandamo hutaona mteja bali ni wafanyabiashara ndiyo wanaolalamika.
 
Ujinga ni kuruhusu mchina kuuza mabakuli Kariakoo kama mwekezaji. Huo ni umachinga ambao haukubaliki. Wao wanakuja kama Wawekezaji wenye mitaji mikubwa na uwekezaji wao uonekane. Sio kuchukua fremu Kariakoo na kushindana na Mkinga kuuza pair za kitenge au viatu.
Kama ambavyo wakenya na waafrika wengine wanamiliki biashara za aina mbalimbali huko China, ndogo na kubwa, ni haki ya wachina na raia wa nchi yoyote duniani kuja kufanya biashara Afrika, tofautisha kati ya uwekezaji mkubwa na kufanya biashara za kawaida.

Ukienda China au USA, raia wa nchi zote duniani wanafanya biashara wapendavyo bila kubughudhiwa, ukija Afrika tunaanza kelele na kuwaonea wivu raia wa nchi zingine wanaotushinda ki biashara, lazima tuondokane na hii "attitude" ya uzembe na kupenda kulalamika hovyo.
 
Napenda mabadilishano ya hoja.
Swali linakuja kwa wale wanaoitetea China, je, sisi tukienda kwao tukataka kufanya biashara ya uchuuzi kwa wingi kama wao wanavyomiminika mazingira yanaruhusu au tutakula kibano cha vikwazo? Nafikiri kwa nchi zetu hizi wageni wapewe leseni ya uwekezaji class A-B, retailing ni class C ambavyo kimsingi wanatuumiza sisi. Lazima tulinde watu wetu.

Lakini nitoe pia rai kwa wafanyabiashara wetu waache kuendekeza kupata super profits. Hili ndiyo demerit wanayoiona wenzetu wanaigeuza fursa kwao kwa kufanya retailing na kuuza kwe bei poa zaidi. Siku nzote consumer anataka unafuu wa bei na ndio maana katika hayo maandamo hutaona mteja bali ni wafanyabiashara ndiyo wanaolalamika.
Mkuu, Europe na USA, hizi biashara za wamachinga, Kule wanaita "open market", au" mobile vans businesses", zinamilikiwa na wageni toka nchi masikini by 95%, wenyewe hawana shida nazo.

Huko China, waafrika, wahindi na watu kutoka Latin America wamejaa wakimiliki maduka, migahawa, saloon, kuongoza wafanyabiashara kuwaonyesha sehemu kwenye bidhaa za bei nafuu, shipping companies, na biashara nyingi Sana, mbona wachina hawalalamiki?
 
Tanzania wachina waje! Hakuna MChina tutakubali aguswe! Kama mtu biashara huwezi we acha! Tafuta shughuli nyingine
 
Mkuu, Europe na USA, hizi biashara za wamachinga, Kule wanaita "open market", au" mobile vans businesses", zinamilikiwa na wageni toka nchi masikini by 95%, wenyewe hawana shida nazo.

Huko China, waafrika, wahindi na watu kutoka Latin America wamejaa wakimiliki maduka, migahawa, saloon, kuongoza wafanyabiashara kuwaonyesha sehemu kwenye bidhaa za bei nafuu, shipping companies, na biashara nyingi Sana, mbona wachina hawalalamiki?
Yes ndiyo maana nimeweka statement katika mfumo wa swali. Kama ikiwa kwao hakuna vikwazo vya kuingia na kufanya hizo retail trade basi hawapaswi kulalamika bali kuwepo tu kwa mazingira sawa ya kiushindani.

Wao wakenya wajue madhaifu ya washindani wao wapige msumari. Simple!
 
Kama ambavyo wakenya na waafrika wengine wanamiliki biashara za aina mbalimbali huko China, ndogo na kubwa, ni haki ya wachina na raia wa nchi yoyote duniani kuja kufanya biashara Afrika, tofautisha kati ya uwekezaji mkubwa na kufanya biashara za kawaida.

Ukienda China au USA, raia wa nchi zote duniani wanafanya biashara wapendavyo bila kubughudhiwa, ukija Afrika tunaanza kelele na kuwaonea wivu raia wa nchi zingine wanaotushinda ki biashara, lazima tuondokane na hii "attitude" ya uzembe na kupenda kulalamika hovyo.
Sio kweli huo ni uongo. Hakuna mTz au Mkenya anayefanya biashara ya umachinga China. Hakuna. Tunahitaji wawekezaji watakaoleta ajira na sio wachuuzi. Kama ni uchuuzi wafanye huko kwao.
 
Kama ambavyo wakenya na waafrika wengine wanamiliki biashara za aina mbalimbali huko China, ndogo na kubwa, ni haki ya wachina na raia wa nchi yoyote duniani kuja kufanya biashara Afrika, tofautisha kati ya uwekezaji mkubwa na kufanya biashara za kawaida.

Ukienda China au USA, raia wa nchi zote duniani wanafanya biashara wapendavyo bila kubughudhiwa, ukija Afrika tunaanza kelele na kuwaonea wivu raia wa nchi zingine wanaotushinda ki biashara, lazima tuondokane na hii "attitude" ya uzembe na kupenda kulalamika hovyo.
Sio kweli huo ni uongo. Hakuna mTz au Mkenya anayefanya biashara ya umachinga China. Hakuna. Tunahitaji wawekezaji watakaoleta ajira na sio wachuuzi. Kama ni uchuuzi wafanye huko kwao. Na hivyo ndiyo sera ya uwekezaji inavyotaka.
 
Mkuu, Europe na USA, hizi biashara za wamachinga, Kule wanaita "open market", au" mobile vans businesses", zinamilikiwa na wageni toka nchi masikini by 95%, wenyewe hawana shida nazo.

Huko China, waafrika, wahindi na watu kutoka Latin America wamejaa wakimiliki maduka, migahawa, saloon, kuongoza wafanyabiashara kuwaonyesha sehemu kwenye bidhaa za bei nafuu, shipping companies, na biashara nyingi Sana, mbona wachina hawalalamiki?
Hapa ndipo unapokosea. Leo Canada wanaruhusu ushoga na Tz nayo iruhusu!? Mazingira hayafanani na chumi pia hazifanani, ni mbingu na ardhi. Huyu Marekani na wenzake wa Ulaya wana zaidi ya miaka 100 ya maendeleo mbele yetu, unataka tuweke sera sawa na wao!? Wewe una miaka mingapi!?

Leo hii sukari ya nje iruhusiwe kuingia kwa staili hii kama wafanyavyo wamachinga wa kichina ni wazi bei itashuka, je, viwanda vya Tz vita_survive!? Au mnaona wamachinga tu!?
 
Muwe mnaelewa kwanza habari kabla hujachangia kitu!!yaani mimi naenda china nanunua bidhaa kwa sh.100 bei ya jumla kiwandani, nakuja kenya naiuza kwa sh.1500!!huyo mchina analeta bidhaa hiyo hiyo na kuiza kwa sh.700!! Tena kwa reja reja!!hapo nitabuni mbinu gani ya biashara niweze kumshinda huyu mtu!!!
Kufungua kiwanda hapo hapo
 
Watu watakuja kuwatetea wakenya ila huu hawawezi kuita ubaguzi wa rangi.Ila ingekuwa ni Wachina wanasema waafrica wasifanye kazi Wala biashara kwao kelele zingekuwa nyingi sana oooh ni wabaguzi warangi.Sisi ngozi nyeusi tuna roho mbaya sana na tunatumia weusi wetu kama silaha.
 
In detail nilivyoipata hii habari kabla ya leo ni kwamba huyo mchina alikuja septemba mwaka jana kucheki soko la bidhaa hapo kenya.
akagundua kuwa bidhaa zinauzwa kwa bei kubwa sana wakati bei ya huko china ni ndogo sana kuliko ya hapo sokoni.
akagundua fursa hapo akarudi china akafunga mzigo ndo akarudi tena kenya kufanya biashara sasa.
anauza bidhaa zake kwa nusu ya bei aliyoikuta hapo.
 
Kama anakushinda kupata bidhaa kwa bei ndogo, maana yake yeye yupo na "Competitive advantage" katika hiyo bidhaa, tatufa mbinu au biashara ingine ambayo wewe uko na " competitive advantage", hiyo ndio maana ya biashara. Usitake kulazimisha kufanya kitu ambacho wapo ambao wanakuzidi.
Wachina wanawapiga sana hapo tz, especially kwa mining ive seen how they are undercutting tanzanians by mining themselves, kuna vitu zingine ni unfair, the price they are getting those goods in china huwezi pata, take a chill pill NDINDA kuna complex ya wachina yeye hutuonyesha ati the biggest hapo ubungo wait and see what will come of it, think bana
 
Back
Top Bottom